Recent content by mwanaharakatihalisi1

  1. mwanaharakatihalisi1

    Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

    Kumekuwa na maneno tofauti kuhusu oil za Castrol na Oryx sasa naomba kujuzwa kama ni kweli oil za Castrol zinaenda kilometers 5000 na kama ni kweli za Oryx zinaenda kilometers 8000. Ahsanteni waungwana
  2. mwanaharakatihalisi1

    Kikwete amuondoa rasmi Dr. Ndalichako NECTA, amteua Dr. Msonde

    Unajua shule ilikuwa ndani ya top ten miaka kumi mfululizo halafu inakuja kuwa ya 30 na kitu Kuna kitu hapo
  3. mwanaharakatihalisi1

    Kikwete amuondoa rasmi Dr. Ndalichako NECTA, amteua Dr. Msonde

    Huyo mama alipo andoka na top ten baadhi ya shule zikapotea.
  4. mwanaharakatihalisi1

    Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    Nipo hapa ubalozi wa tanzania uingereza nako umeme umekatika muda mfupi uliopita
  5. mwanaharakatihalisi1

    Naomba mwenye hizi Hotuba atupatie

    City Centre sehemu gani mkuu
  6. mwanaharakatihalisi1

    Naomba mwenye hizi Hotuba atupatie

    Natafuta Hotuba ya Mzee Ally Hassan Mwinyi, wakati anaaga alitoa hiyo hotuba mbele ya Nyerere na Mkapa. Neno zuri ninalolikumbuka ni kwamba alikuambia Mkapa; ngoja na mimi nikuusie kama mimi nilivyousiwa. Natafuta pia Hotuba ya Nyerere ile aliosema Wazee wa Dar ndio waliomfundisha Kiswahili...
  7. mwanaharakatihalisi1

    ACT-Tanzania Haina Uadui Wala ugomvi na Chama Chochote, Hivyo hamna haja ya Kuiogopa!

    Nakifuatilia nione misingi yake. Sera za kila chama ni nzuri tatizo ni utekelezaji na weledi wa viongozi Vyama vingi vimekuwa vikifa nguvu kwa kufanywa mali ya mtu au watu fulani. Chama kiwe taasisi kikubali changamoto kitoe fursa kwa wote bila kujali kanda, udini na makabila na matabaka...
  8. mwanaharakatihalisi1

    Azam TV - hatujagawa tajiri na masikini, kuanza rasmi november 2013

    Kuna watu wanachanganya kutoa msaada na kujitangaza. Kuna watu wanatoa zaidi ya mengi na hawajitangazi na dini ndio inataka hivyo unatoa mkono wa kulia hata wa kushoto haujui. Naona sasa Mh wenu wa itv ana bifu binafsi na muhongo baada ya muhongo kuhalalisha ukatwaji wa umeme hadi kwenye ukanda...
  9. mwanaharakatihalisi1

    Dr. Slaa karibu sana kasulu, imarisha demokrasia

    Tupe matokeo baada ya mkutano. Au tuendelee kuamini ya vyombo vya habari
  10. mwanaharakatihalisi1

    Wanaofukuzwa/zushiwa/shutumiwa CHADEMA: Kwanini wana hoja inayofanana?

    Ifike wakati chadema wajibu hoja. Wajisahihishe na sio kila mtu kumuona muasi. Hata vijana wa chadema tumekuwa wa ajabu sana ikitolewa hoja yoyote nzito tunatoa matusi tu badala ya kuibu na kumuona alietoa hoja hafai. Muhimu kuanzia sasa tuwe tunajibu hoja. Yaani sisi maelezo yetu yote ni mabaya...
  11. mwanaharakatihalisi1

    Azam Media Group

    Hizi habari zinapatikana kwenye chanzo gani
Back
Top Bottom