Naomba kuelekezwa umbali ambao oil za castrol hutumia

mwanaharakatihalisi1

Senior Member
Apr 26, 2013
107
25
Kumekuwa na maneno tofauti kuhusu oil za Castrol na Oryx sasa naomba kujuzwa kama ni kweli oil za Castrol zinaenda kilometers 5000 na kama ni kweli za Oryx zinaenda kilometers 8000.

Ahsanteni waungwana
 
Mi nimewahi kutumia oil ya castrol na mpaka sasa bado nasubir hizo kilometa 5000 zitimie

Kama nilishikwa itafahamika ila mashine iko mukide tu
 
Kinachofanya oil ziende km nyingi siyo jina (Castrol, BP oryx n.k) bali in teknolojia iliyotumika kupata oil husika. Oil ya kampuni yeyote ikiwa ni synthetic technology huwa inakuwa na uwezo mkubwa kuliko oil za kawaida (Mineral Oil). Ninaposema uwezo mkubwa namaanisha uwezo Wa kulinfa injini isichakae, kupunguza matumizi ya mafuta na kukaa muda mrefu toka ilupowekwa had I kubadirishwa
 
watu wanashindwa kutofautisha kati ya synthetic and mineral oil, kila kampuni za kutengeneza oil wanatengeneza hizo oil za aina 2....unakuta mtu anakariri castrol zinaenda km nyingi na anaweka mineral oil matokeo yake anaenda km nyingi kuzidi uwezo wa oil kuhimili hapo kinachofuata ni kuua engine tu
 
Naomba elimu kidogo ya kujua tofauti ya synthetic na mineral.... Asanteh!
 
synthetic oil ni oil inayotengenezwa kiwandani kwa kutumia kemikali mbalimbali na mineral oil ni oil inayochunjwa kutoka katika crude oil yaani mafuta ghafi yanayotoa petrol, diesel, kerosene na kadhalika.
Synthetic oil inahesabika kuwa ni oil bora kabisa kutokana na kutengenezwa ili kuhimili mazingira ambayo gari inakutana nayo mfano baridi kali, joto kali na vumbi ndio maana hata bei yake ni kubwa kuliko mineral oils.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Naomba elimu kidogo ya kujua tofauti ya synthetic na mineral.... Asanteh!
Synthetic oil ni oil inayotengenezwa kiwandani kwa kutumia kemikali mbalimbali na mineral oil ni oil inayochunjwa kutoka katika crude oil yaani mafuta ghafi yanayotoa petrol, diesel, kerosene na kadhalika.
Synthetic oil inahesabika kuwa ni oil bora kabisa kutokana na kutengenezwa ili kuhimili mazingira ambayo gari inakutana nayo mfano baridi kali, joto kali na vumbi ndio maana hata bei yake ni kubwa kuliko mineral oils.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
synthetic oil ni oil inayotengenezwa kiwandani kwa kutumia kemikali mbalimbali na mineral oil ni oil inayochunjwa kutoka katika crude oil yaani mafuta ghafi yanayotoa petrol, diesel, kerosene na kadhalika.
Synthetic oil inahesabika kuwa ni oil bora kabisa kutokana na kutengenezwa ili kuhimili mazingira ambayo gari inakutana nayo mfano baridi kali, joto kali na vumbi ndio maana hata bei yake ni kubwa kuliko mineral oils.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Asanteh sana mkuu nimepata kitu hapo
 
Kama gari yako ni trip zako kwa siku huzidi 30 km sio vizuri kutaka kufukisha 5000 km kwa castrol oil kwani itakaa muda mrefu kusubili hizo km 5000 na kupoteza uwezo wake kwa maana ya viscosity
Toa maelezo ya kueleweka, kwa mtu anayetembea 50km average kwa siku kwa nini asisubiri kufikisha 5000km kama oil yake inauwezo huo?

Viscosity ya oil inapungua baada ya mda gani wa matumizi??
 
Dah hapa nimegundua kuna changamoto kubwa sana kwenye uelewa wa oil... Wapendwa watu wajitahid sana kutafuta knowledge ya haya mambo lasivo mafund wataharibu sana magari.. Unakuta mtu ananunua oil kwa jina la kampuni badala ya standard recommended na manufacturer.

Mfano utakuta gari inataka utumie oil ya 5w-30, 5w-40, ambazo ni synthetic oil, mtu anakwenda nunua oil imeandikwa SAE 40, hvi jaman unadhan hyo engne ita dumu... ? Elimu ya oil ingia google utapa, na hata ukitaka kufahamu recommended oil kwa gari yako utapata majibu.. We type aina ya gari na model ya engine utapa details zote za oil inayotakiwa.
 
Mtengenezaji wa gari a nakuambia kabisa badili oil kila baada ya 5000km,hizi nyingine ni mbwembwe za mafundi na Wafanya biashara
Post hii na mwenyewe ni dhihirisho ya kutoelewa. Aliyesoma owner/operations au service manual atakua ameshaona matumizi ya chombo ndio uelekeza mambo ya service. Aina ya mafuta yanayotumika pia ni kielekezo; kw hili, magari ya kisasa unayoelekezwa utumie oili synthetic hayajapendekezewa service kila kilometa elfu tano! Tafuta manual zake ujisomee!

Mfano mwingine unaoambatana na issue hii ya oili ni spark plugs! Zile za kale/shaba zilikua zikibadilishwa kila service au ya pili; za kisasa (platinum au iridium) huenda kilometa laki moja. Hili ni kuonyesha teknolojia iliyotumika, kama pale kw oili synthetic, ni ya hali ya juu na ina stahimili kw mda mrefu.

Usipojua uliza, usipoelewa usibishe ila chunguza vikamilifu.
 
Back
Top Bottom