Naomba mwenye hizi Hotuba atupatie

Naomba mwenye hizi Hotuba atupatie

mwanaharakatihalisi1

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
107
Reaction score
25
Natafuta Hotuba ya Mzee Ally Hassan Mwinyi, wakati anaaga alitoa hiyo hotuba mbele ya Nyerere na Mkapa. Neno zuri ninalolikumbuka ni kwamba alikuambia Mkapa; ngoja na mimi nikuusie kama mimi nilivyousiwa.

Natafuta pia Hotuba ya Nyerere ile aliosema Wazee wa Dar ndio waliomfundisha Kiswahili, alikuja mjini hajui Kiswahili vizuri.
 
Mhh,mzee naona upo kwenye mbio za kugombea udiwani 2015.
Nenda Makao Makuu ya Chama,wanazo teleee.
Ila sijui kama upo Dar ua Mkoani
 
Natafuta hotuba ya Mzee Ally Hassan Mwinyi wakati ana aaga alitoa hiyo hotuba mbele ya Nyerere na mkapa neno zuri ninalo likumbuka ni kwamba alikuambia mkapa ngoja na mimi nikuusie kama mimi nilivyo usiwa.

Natafuta pia hotuba ya Nyerere ile aliosema wazee wa dar ndio waliomfundisha kiswahili alikuja mjini hajui kiswahili vizuri


Naamini ulizisikia kupitia vyombo vya habari na enzi hizo chombo kilichokuwa kinawika ilikuwa RTD, nakushauri uende kwenye duka lao city centre watakusaidia
 
Hotuba nyingi za Nyerere na Mkapa na hata Kikwete zinapatikana pia ONLINE. Ila huyu Mzee Mwinyi Hotuba zake niliwahi kuzitafuta Online japo moja tu, nikaambulia patupu. hakuna hata moja, sijui kwanini!

Nenda tu kwenye Ofisi za Makabrasha ya Serikali au hata pale Chuo Kikuku cha Dar es salaam (UDSM) utapata...
 
Na ile ya kigoda cha mwalimu iliyooneshwa na Itv siku moja kabla ya upuuzi wa bunge la katiba kuanza tunaiomba.
 
Back
Top Bottom