inasikitisha kwa kweli, inabidi atafutwe wa kumvisha paka kengele sasa this is too much jamani, tumekuwa kama mabwege kwa resources zetu wenyewe ambazo zinawatajirisha viongozi waliomadarakani
thanks mkuu wangu haya matatizo niko nayo kwa mda wa miaka mitatu sasa, @ moment ninakimbilia 30, na kuhusu skini problems siruhusiwi kula samaki pekee huwa ninasumbuliwa na matatizo ya ngozi ndugu yangu niko dar mda huu nashukuru kwa msaada wako mkuu wangu
Wakuu tusiwe wepesi wa kulauma nadhani kwa hili serikali imajitahidi kufikiria, maana zile za mwanzo zilikuwa zinatia aibu bwana ila kwa suala la gharama nami pia sikubaliani nalo nadhani kuna kigogo anachangiwa kupitia gharama hizi, kikubwa nadhani sekta ya usalama pamoja na mapungufu yao...
mkuu hapo umesema kitu cha msingi ambacho kinagusa aslimia kubwa ya watu wanaotuzunguka ila kuna issue moja inatokea sana nchi za wenzetu tabia ya wanaume kuongeza uume wewe unaiongeleaje hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.