REDET & Synovate hamtaweza kuzuia mabadiliko... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

REDET & Synovate hamtaweza kuzuia mabadiliko...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpita Njia, Oct 10, 2010.

 1. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Imetangazwa na Synovate mchana huu

  KIkwete - 61%
  Dk Slaa - 16%
  Prof Lipumba - 5%
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa bado wanafikiria wanaweza kutoa utafiti ukaonekana credible kwa watanzania?????????????????
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  huu ni uongo kabisa maana Baregu kaisha sema Slaa kashinda na tena ushindi wa majimboni tumepata zaidi ya 45% ya majimbo tuliyogombea..aaah kumbe asubuhi imefika wacha niamke!
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Maji-Taka!!!!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  I dont trust any of these stuffs any more!
  Utafiti mzuri ninofanya mimi utatolewa 31/10
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  REDET, SYNOVATE are eager to see Tanzania go into political conflicts
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hivi hawa watafiti kwa nini wasimpe JK 100%?

  Sisi tunasubiri 31/10
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wanajikosha kwa JK baanda ya kushindwa kutoa matokeo halili pale awali. Mhhh, naona hizi week 2 zilizobaki watu watahaha kubook nafasi. Ila wajue kuwa mambo yakiwageukia hapo 31 Oct watakosa mahali pa kuficha nyuso zao.
   
 9. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huu utafiti umefanyika lini tena si walisema waliangalia media coverage tu, baada ya kuchakachua na kumpendeza bwana wao ndio wameamua watoe, wanajidanganya na kuwadanganya CCM wanaotegemea wizi wa kura, njia zote zitakapobanwa na wizi kushindikana ukweli utajulikana wazi.
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Umemsahau

  Hashim Rungwe 18%
   
 11. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  CCM maji yako shingoni inahaha kweli kweli inajaribu kila mbinu kuwahadaa wananchi ambao tayari wameshaamua, Slaa songa mbele.
   
 12. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,205
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa nao na Sheikh Yahya kuna wa kumcheka mwenzake? Kama Jk angependwa kwa asilimia hizo angehangaika usiku kucha kutafuta mlango wa kutokea. Wait october 31 is not too far we will proove these traitors wrong!!
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wabongo bana nimewavulia kofia.. hizi tafiti uchwara zinashikiwa bango kana kwamba ni kijito cha maji jangwani. Kweli uono wa typical mbongo unaeza kweli hauzidi pua yake.
   
 14. mwanaharakati85

  mwanaharakati85 Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah bongo yetu hiyo ukishangaa ya REDET utaona ya SYNOVATE
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi mwananchi wa kawaida anapata picha gani kuhusu hizi tafiti??????
   
 16. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  61 + 16 + 5 = 82
  100 - 82 = 18


  Sasa hata kama 18% watagawana wengine, ni bora zingeonyeshwa, kwani ni nyingi mno kuzipuuzia.
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Njaa ni kitu kingine Synovate ni wakenya so wanajikosha kwa JK asije watimua na REDET ni wasomi waliokubali kununuliwa na kuudhalilisha taaluma yao
   
 18. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hivi hiki unachosema ni sahihi au umeguess? Tunaombeni muweke ful data ikiwezekana ripot nzima!
   
 19. Profesy

  Profesy Verified User

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du yani in two days JK amepungua by 10% na Slaa kuongezeka kwa 4%:tonguez:
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa sijui wamesoma sayari tofauti? Hivi mtanzania anapata picha gani. Mbona tukiangalia taarifa ya habari yoyote mfano ITV NA STAR Tv kawaida taarifa zinarandana kuanzia za kitaifa mpaka michezo ila hawa Synovate, Redet/******, na waungwana wa JF mbona taarifa kwa umma hazifanani? Kama wanataka ushindani wa kweli wasubiri Box za tarehe 31. Watanzania sio wapuuzi. Sasa ivi naona kinana_CCM na Tido mhando_ CCM wanaendesha mudahalo wa watu wawili wakati walishakataa kukaa mbele ya Screen. Kama mataila wamekaa mbele ya uwanja wa nyumba wanacheza. Kura ikiibwa safari bongo hapatoshi. Hivi kweli serikali haina watu makini mpaka hawa vibaraka mbuzi. Nashindwa kupata picha. Jamani watanzania fikiria mara mbili.
   
Loading...