LESENI MPYA SH.40000/= Pesa nyingi hivyo za nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LESENI MPYA SH.40000/= Pesa nyingi hivyo za nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matawi, Oct 19, 2010.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Waungwana mi nimesikitishwa sana na serikali yetu kubadili mfumo kwa kutoa leseni mpya kwa bei ya juu namna hiyo. Hivi hiyo bei kapanga nani. Gharama za kuitengeneza zinafikia 40000/=?
   
 2. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Tulia mkuu na hapa hawajamaliza awamu yao ya nne, fanyeni kosa muwape awamu ya tano muone!
   
 3. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  serikali isiyokuwa makini kuibua vyanzo vipya vya kodi. Kila siku wanapiga nyundo palepale!
   
 4. bona

  bona JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  shida hii serikali haina ubunifu kwa iyo hiyo ni njia mojawapo ya kuanzisha chanzo cha income nadhan ni ktk kufidia bidget deficit ambayo mpaka sasa hawajajua wataifidia vipi kwani wahisani washasema wazi hawatarudisha nyuma nia ya kukata msaada mpaka serikali itapotia akili na kumanage vizuri uchumi! kilichonishangaza na kujua kua hili ni suala la pesa zaidi kuliko usalama barabarani ni pale kamishna wa TRA alipokua akiwa main speaker ktk uzindizi wake na kuanza kuisifia, sikuelewa kama aliteuliwa au la lakini kama ni suala la usalama barabarani ni mwema ndie angekua muongeaji mkuu! hii serikali inatia aibu kama wamefikia hatua hiyo ya kuchomoa vicent vya wananchi kiulaghai kiasi hichi!
   
 5. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Dhu bei kubwa utafikiri unanunua Passport!!!
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hii imeingiaje hapa Masuala ya utendaji mnaingiza kwenye SIASA duuu!
   
 7. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ...mambo hayo!! hata hivyo ile siku IGP anasungumsa nlibaki domo wazi pale msimamizi wa project jamaa flani mpwae wa huyo huyo IGP alipoanza kuelezea. bahati nsuri hakuongea kimachame cha kwao akatuelesa kwa kiswahili. Najiuliza hivi mkandarasi ni Mwizraeli au?
   
 8. mwanaharakati85

  mwanaharakati85 Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu tusiwe wepesi wa kulauma nadhani kwa hili serikali imajitahidi kufikiria, maana zile za mwanzo zilikuwa zinatia aibu bwana ila kwa suala la gharama nami pia sikubaliani nalo nadhani kuna kigogo anachangiwa kupitia gharama hizi, kikubwa nadhani sekta ya usalama pamoja na mapungufu yao wameonesha kuwa na mawazo endelevu
   
 9. e

  ejogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I see! kumbe!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nashangaa... hii si mahala pake
   
 11. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Wanapogawa pesa na kuomba uwachague, maana yake ni hiyo. Hii ni mbinu ya kurudisha pesa hiyo serikalini.
   
 12. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ukianza kuchunguza utakuta ni kati ya miradi ya kiufisadi kama ule wa National IDs .
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Aiseeeeeeee
   
 14. C

  Chuma JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mie nafikiri Gharama si tatizo kama kutakuwa na Uboreshaji wa utoaji wa Leseni Mpya. Kwanza ni hio Design and Durability ya ID, na Kingine Proper process za kupata hio ID na Kupunguza au kutotoa Mianya ya Rushwa. Hio pesa watu wanalewea siku moja tu.

  Kingine kuangalia kama proper process za kutoa hio Tender zimefuatwa vilivyo.

  lkn pia kutotoa PUSH kuwa zoezi hili lazima liishe within 1-2 yrs...Ni vema wakaweka utaratibu kuwa Leseni ikiisha basi unafanya renew on new process...ili kutoleta Usumbufu kwa madereva/wananchi waliopo makazini
   
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  you might be right!
   
 16. m

  mapambano JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla hauja lalamika do your homework.
  1) Kwa kuanza angalia gharama za leseni nchi zingine, kisha linganisha na gharama za TZ,
  2)angalia design na tekinologia ya hiyo leseni nk. Hii leseni sio lile ganda ulilozoea kupata zamani.

  Ukifanya hivyo ukaona kuna tatizo then leta hoja zako. Narudia fanya research kwanza, great thinker
   
 17. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Mimi naona utendaji wa serikali na siasa havitenganishwi.
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280

  CCM wanataka ku-offset gharama za uchaguzi hapo, kwani kuna siri ?
   
 19. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Gharama sio tatizo....Tatizo ni lesen za zamani utafikiri kitabu cha benk ya post ya zamani..kama zitakuwa ni za kudumu haina tatizo kwani hata za sasa unapata kwa 70000.
   
 20. semango

  semango JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu 70,000 ni process nzima ya kupata lesseni wakati huna kabisa leseni.sasa hii 40,000 ni kubadilisha tu kupata leseni mpya wakati tayari ulishalipia ile 70,000 kuipata. pia sidhani kama hizo leseni mpya zitakua za technologia kubwa kuliko ATM cards za benk.ATM cards pamoja na kua mabenki yako kibiashara zaidi zinacost kati ia 10,000 na 15,000.hiyo 40,000 kwa kubadilisha tu leseni ni kubwa mno na ndio maana wengi tunapeleka mawazo yetu katika kufikiri hii ni mbinu tu ya ku-recover budget deficit.
   
Loading...