Nimependa Ideas zako mkuu upo kama Mimi lakini ningekushuri uwekeze hapa nyumbani tz ili sifa zibaki hapa kwetu kumbuka maendeleo hayaletwi na watu bali na mutu Moja akiamua kubalisha nch anaweza kabisa haijalishi ugumu uliopo unaweza Fanya jambo mkuu ndani ya Tanzania
Wanao pinga kwamba eti Mungu hayupo. Lakini kiukweli, hajui hata wanae mtafuta, ndicho nilicho gundua wengi wamtafuta kamavile ni ni mtu wakati Mungu si mtu. Pili njia mnayo itumia kumtafuta tatu mnachokitafuta kwake hamkijui ndiyo maana itimisho. Mnaishia kusema hakuna Mungu, namakejeli mengi...
Hizo ni akili za kitoto tu utakuja Mungu wakati hata serikali yako ina kushinda iwe Mungu umjue kwa akili za kipumbavu na kitoto hizo acha kusumbua watu bahq
Elewa kwanza upendo ni nini
Elewa kwanza akili ni nin
Elewa kwanza ndoa ni ni
Eewa kwanza mapenzi ni nini
Elewa kwanza mwanaume ni nani
Elewa kwanza mwanamke ni nani
Elewa kwanza uchumii ni nini
Elewa kwanza pesa ni nini
Baada yahapo kula starehe
Kwasababu utakua ujua unachokifanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.