Recent content by Mwanafalsafamweusi

  1. Mwanafalsafamweusi

    Wabunge na Watu wenye Ulemavu wapiga Kambi Serengeti Kutalii

    Chama cha wabunge wenye ulemavu wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakiongizwa na mwenyekiti wake mheshimiwa Riziki Lulida na katibu kamati Mbunge mh Amina mollely Leo wanaendelea na Utalii wa kuzungukia vivutio vya utalii vilivyopo nchini katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti...
  2. Mwanafalsafamweusi

    Fiesta 2019 Inajipya Lipi

    Na Mwanafalsamweusi Tigo Fiesta kwa sasa linaendelea kuwa ndo tamasha bora na lenye mvuto zaidi nchini Tanzania baada ya Tamasha la Wasafi Festival kukosa kitu cha ziada cha kulitofautisha na Na Togo fiesta. Mapungufu ya miaka iliyopita ya Tamasha hili Mimi ni kiwa shabiki wake namba moja...
  3. Mwanafalsafamweusi

    Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

    *Nape Amerudi Kwenye* *Reli Sasa* . Nijambo amabalo wana CCM wengi hawajalifurahia kuona *Nape Moses Nauye* Mbegu iliyo Kufa na kuoza sasa imeanza kuchipua. Kifo chake kilisababishwa na kusema ukweli palipohitajika kusema ukweli wakati sio utamaduni wa chama cha *CCM* kusema ukweli kwa wanachama...
  4. Mwanafalsafamweusi

    Ondoka Konde Boy WCB

    Mwanafalsafamweusi ONDOKA KONDE BOY Kuondoka wa @harmonize_tz kwa @diamondplatnumz ni sahihi kwa sasa na hizi ni faida atakazo zipata 1.Anaenda kuwa mshindani namba moja wa @diamondplatnumz Tanzania Baada ya Alikiba kuonesha si mshindani. 2.Anaenda kuwa mshindani wa WCB kwa kuanzisha Lebal...
  5. Mwanafalsafamweusi

    DC Longido azuia mali za mwekezaji aliyefungiwa na Serikali

    Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe ameagiza kuzuiwa kwa Mali zote za Kampuni ya Green Miles hadi atakapo lipa deni la zaidi ya shilingi milioni 36 alizokuwa kidaiwa na vijiji 23 vunavyozunguka kitalu cha uwindaji kama mkataba ulivyoagiza. Kampuni ya Green Miles ilikuwa imekodishiwa...
  6. Mwanafalsafamweusi

    Mwaka 1 wa Wateule wa Magufuli

    Anaandika Mwanafalsafamweusi Mwaka mmoja wa wateule vijana Ma DC Katambi,Sabaya,Muro na Joketi. Nianzie kwa kuwapongeza nyie wateule Vijana wa Rais Magufuli kwa kumaliza mwaka mmoja wa uongozi wenu bila kutumbuliwa.Mlianza kwa speed sana siku mlipo teuliwa tu mlionyesha mlikua mnahamu ya...
  7. Mwanafalsafamweusi

    CRDB mnananii na Pesa Zetu

    Bank ya CRDB tangu siku ya Ijumaa ya Tarehe 12 mmekua na ukiritimba wa kuzuia kutumia pesa zetu tulizo zihifadhi kwenu kwa kisingizio cha Network mbona wakati pesa tunaweka na kufungua account hamkusema network inasumbua Tangu Kimei Astaafu CRD bank memeshindwa kuturidhisha wateja zaidi ya kuwa...
  8. Mwanafalsafamweusi

    Maneno mazito ya Freeman Mbowe msibani kwa Aminirabi Swai

    Baba Askofu wetu wa Dayosisi ya Kaskazini na Mkuu wa Kanisa KKKT Dr. Frederick Shoo, Wapendwa Mke, Watoto na familia yote ya Mkuu wetu wa Jimbo Kuu la Hai na Mchungaji Aminirabi SWAI, Wachungaji, watumishi, Wakristo wote wa Dayosisi ya Kaskazini na kote pengine; Wananchi wote wa Wilaya ya Hai...
  9. Mwanafalsafamweusi

    Nyota ya DC Sabaya yang'ara Mbele ya Dr.Bashiru Hai

    Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dr.Bashiru Kakurwa kaandika historia wilayani Hai kwanza kwa namna alivyopokelewa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM na kubebwa na kina mama baada ya kuchuka kwenye gari lake. Bashiru sio MTU wa kusifia sifia watu hovyo na kwa unafiki akiwa Hai alishindwa...
  10. Mwanafalsafamweusi

    Utata waibuka TRA Arusha, Meneja aliyehamishwa agoma kuondoka

    KIGOGO wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) mkoa wa Arusha amekataa uhamisho wa kwenda Kahama alikohamishiwa wiki tatu zilizopita Irene Hance aliyekuwa Meneja Msaidizi waTRA mkoa Arusha (Madeni) ni mmoja wa vigogo 34 wa mamlaka hiyo waliobadilishwa vituo vya kazi nchi nzima muda mfupi baada ya...
  11. Mwanafalsafamweusi

    Miss Arusha ndani ya Hifadhi ya Mkomazi

    Washiriki wa Miss Arusha mwaka 2019 wapatao 22 wamepata nafasi ya kutembela hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo Mkoani Kilimanjaro Wilayani Same na kupokelewa na mkuu wa wilaya hiyo Bi.Rosemary Senyamule na Mhifadhi mkuu wa Hifadhi hiyo ya Taifa Mkomazi Kamishina Msaidi Abeli Mdui ...
  12. Mwanafalsafamweusi

    Mbowe atashinda tena Hai 2020?

    Kwa maneno haya ya DC wa Hai Lengai Ole Sabaya aliyo yaongea mbele ya vijana wa Uvccm mkoa wa Kilimanjaro je Mbowe Atarudi kweli 2020? "Ule wakati wa kuwageuza geuza watu kama chapati umepita, Alikuja Rais Kikwete mkamuita dhaifu, Sawa Yupo huyu Rais wa kazi mnamuita Dickteta, Ni mwananchi...
  13. Mwanafalsafamweusi

    DC Same Awapa Shavu Miss Arusha 2019

    Mkuu wa wilaya ya Same Bi.Rosemary Senyamule akiwapokea washiriki wa miss Arusha 2019 Wakuu wa wilaya kwa Mkoa wa Kilimanjaro wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na Warembo. Mkuu wa Wilaya ya Same Bi Rosemary Senyamule amewakutanisha Warembo wanaoshiriki Miss Arusha 2019 na wakuu wa wilaya wenzake...
  14. Mwanafalsafamweusi

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amkaanga Mbowe TRA

    Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Ndg:Lengai Ole Sabaya amemuagiza meneja wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) wilayani humo Rashid Murith kwa kushirikiana na Kamanda wa Polisi wilaya OCD Lwelwe Mpina kufanikisha upatikanaji wa Magari Zaidi ya mawili yaliyo inginzwa nchini bila kufata...
Back
Top Bottom