Recent content by mwanachamahuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

    Wafute kwa UKAWA ili iwape credit
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Barabarani toka Moro - Chalinze

    Kwann wasifunge nchi zma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

    Mchezo wa kitoto kabisa eti donge donge
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesi: Wapinzani Wanafahamu Ngoma Wanayoicheza?

    Inaonekana sijui umelewa pombe au umejitoa akili makusudi au aliyekulipa amekuzidishia hakuna mpzn anaepinga kisomwa mswada ila tunachotaka kusiwe na haraka tusibili bunge lijalo ili tuupitie na tuelewe haraka ya nn
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Simba chawene unawai nn baba hiyo wizara nafikili kunamatatizo au mnataka tn % zenu kabla hamjaondoka? Mbona nyerere aligoma kuchimba madini wkt alijua yapo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Hivi hii halaka ya nn Nimegundua lazima kunawatu wanataka kupiga dilli sio kawaida mbona spika anakomalia hvi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Team nan ww ?? Mbona leo nimemuona ddma kweli ni upumbavu unapotumwa na uongezi akili zako ()
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

    Hajitambui huyu dogo je na watu wake nao wakaacha kimfollow ??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Arudisha Fomu Ya Kuomba Ridhaa na Kutoa Neno Lenye Busara Kubwa

    Huyu hpna leo maish yamepanda kwa ajili yao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mkanganyiko kwenye mkataba wangu wa ajira

    Hv huo mshahara unakaa kwenu??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu namtongoza upya kila siku

    Ndoa nyingi zina hiyo shida na hiki ndo chazo cha michepuko Wengine wanasema haya madawa ya uzaz wa mpango yanawapotezea hamu kabisa ya tendo la ndoa kabisa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za CCM uandikishaji BVR hizi hapa.!

    Pumba tupu watu wanapenda kubwabwaja sana zoez limepita mwanza sijaoma kisa kama hicho watu wote wamehudumiwa sawa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Toyota IST for sale

    Mil. Nne cash upo tayali?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba atimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapewa aishi

    Kumbe diomond anamzidi hadi kipato?? Team kiba mpeni hisani jmn atagongea nyumba hdi lini?
Back
Top Bottom