Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
kwenyevambulance hapo uongo
labda ni ambulance ambayo ndio inahamishwa kituo say kutoka morogoro inapelekwa tumbi,au ambulance binafsi na haina mgonjwa wala uthibitisho kuwa inaenda kuchukua mgonjwa!hapo haipaswi kupinda sheria inapaswa itembee kama magari mengine!lakini pia hicho ndicho mtoa mada alichoona kwanini upinge maelezo yake?yeye kaona ambulance inapigwa faini na kasema alichoona,ulitaka aseme daladala wakati yeye kaona ambulance?