Mbinu chafu za CCM uandikishaji BVR hizi hapa.!

MAHORO

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
7,585
Reaction score
2,571
Wanachukua Kadi Za Wanachama Wao Na Kuwaandikisha Mapema Iwezekenavyo, Na Hii Inafanywa Kwa Siri Kubwa.

Wakishaandikisha Watu Wao Huwashinikiza Waandikishaji Waseme Kwamba Mashine Ni Mbovu Na Huwa Ni Pale Wanapoona Vijana Ndo Wako Kwenye Foleni Ilimradi Waandikishwe Wachache.

UKAWA Hilo Munalijua?
 
Ccm wataliingiza taifa hili katika machafuko makubwa kwa uroho wa madaraka; kuandikishwa ni haki ya kila raia sasa iweje tena walete mizengwe; ukawa lazima wajipange kweli, maana tayari ccm wameanza maandalizi ya kupata ushindi kwa bao la mkono.
 
hilo niliwahi msikia kiongozi mmoja wa ccm akisema mtaani kwetu. ingawa nilidhani utani. kwa kweli tume hii kwa 99% inamilikiwa na ccm. na hata jaji lubuva huenda anapokea maelekezo mengi toka kwao. kauli ya nape ya hivi karibuni ilipaswa kulaaniwa na tume....
 
Mwongozo wa Tume ya uchaguzi umezuia wakala wa chama cha siasa kuorodhesha majina ya wanaokuja kujiandikisha ila cha ajabu mawakala wa ccm wameelekezwa kuorodhesha majina ya wanaoandikishwa na bado tume iko kimya. Yaani mawakala wa ccm wanajipa mamlaka kwenye vituo kuliko hata waandishi wenyewe.
 
Vile vikosi vya ulinzi vya Ukawa mko wapi? Kamateni mnoja kwa ushahidi!
 
Mwongozo wa Tume ya uchaguzi umezuia wakala wa chama cha siasa kuorodhesha majina ya wanaokuja kujiandikisha ila cha ajabu mawakala wa ccm wameelekezwa kuorodhesha majina ya wanaoandikishwa na bado tume iko kimya. Yaani mawakala wa ccm wanajipa mamlaka kwenye vituo kuliko hata waandishi wenyewe.

mkuu lengo la kuorodhesha hayo majina lengo lake ni kuandaa mbinu ya kuwahonga hao wapiga kura na hata kununua viparata vyao. chezea ccm wewe.... jaji lubuva na wakurugenzi hawana ubavu wa kuwakatalia hao mawakala wa ccm kamwe.
 
Kingine wanachofanya ni kuwapa wazee priority ya kujiandikisha na kuwanyima vijana fursa. Hii ni kutaka kusema kuwa wameshinda kwa kishindo wataleta machafuko wasipokuwa makini
 
muongozo wa tume ya uchaguzi unazuia mkiona hayo yanatendeka mpigeni mpaka akate kamba mtu anaye fanya hivyo ,uchaguzi ni jambo la hatari isipokuwa na haki
 
sijawahi kuona wala kusikia hiyo mada yako si kweli kwanza hujaeleza ni wapi wanafanya hivyo

Kama hata kwa picture hauwezi kuelewa basi inaonekana hata shuleni ulivyokuwa ukitazamia ulikuwa hauelewi.Huo ndio ukweli na hata mimi niliona hapa Bukoba,na baada ya kuwaongoza watu tukomae na mwandishi nikamuahidi kumlipa fedha yangu yamfukoni ili awaandikishe waliopo machine hazikugoma tena.Nahivi sasa nimeshatekeleza ahadi na Ccm mjiandae tu kupotea hasa huku Bukoba
 
Wanachukua Kadi Za Wanachama Wao Na Kuwaandikisha Mapema Iwezekenavyo, Na Hii Inafanywa Kwa Siri Kubwa.

Wakishaandikisha Watu Wao Huwashinikiza Waandikishaji Waseme Kwamba Mashine Ni Mbovu Na Huwa Ni Pale Wanapoona Vijana Ndo Wako Kwenye Foleni Ilimradi Waandikishwe Wachache.

UKAWA Hilo Munalijua?

Acha propaganda za kufikirika....unadhani utamhadaa nani humu...nyau weee
 
Uongo mwingine wa kijinga sana kwa namana hii unategemea kumdanganya nani sasa ,vijana tafuteni kazi za kufanya siyo kukaa na kupika majungu jf.
 
Kingine wanachofanya ni kuwapa wazee priority ya kujiandikisha na kuwanyima vijana fursa. Hii ni kutaka kusema kuwa wameshinda kwa kishindo wataleta machafuko wasipokuwa makini

Wazee na vijana wakinanani wanaZa kuvumilia foleni? Ongea pointi
 
Wanachukua Kadi Za Wanachama Wao Na Kuwaandikisha Mapema Iwezekenavyo, Na Hii Inafanywa Kwa Siri Kubwa.

Wakishaandikisha Watu Wao Huwashinikiza Waandikishaji Waseme Kwamba Mashine Ni Mbovu Na Huwa Ni Pale Wanapoona Vijana Ndo Wako Kwenye Foleni Ilimradi Waandikishwe Wachache.

UKAWA Hilo Munalijua?
Halafu we jamaa ni mrwanda ya tanzania yanakuhusu nini utayajuaje kama siyo umbea?
cc,simiyu yetu.
 
Mwaka huu CCM watachafua hali ya utulivu na amani aliyotuwekea Nyerere.
Mtaongopa sana mwaka huu eti wanachukua kadi na kuwaandikisha wanawezaje kuwaandisha kwa kutumia kadi zao wakati zile mashine zinahitaji alama za mwili acheni uongo wa kitoto kama huo.
 
Back
Top Bottom