Recent content by Mwanabalagha

  1. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Nina maswali kadhaa kuhusu mwenge

    Mwenge ni tambiko kuu la taifa hili, na mpaka mwenge huo unawaka watu wengi walipoteza maisha. Ulikuwa mpango ulioshirikisha watu maalum nchi nzima, kuna wengine (hao maalumu) walikubali kufa Ili mwenge uwake, haikuwa kazi rahisi kuwasha mwenge. Hakuna siku mwenge huo utazimwa, labda Dunia...
  2. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?

    Nalutuesha
  3. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Nimesanuka, Bila kutumia akili kwenye haya maisha...

    Kwahiyo mke wako kipindi hicho unamfariji mjane atakuwa kafa? Au hutaoa kabisa ukisubiri uzeeni kurithi mjane?
  4. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania KISA: Mwenye nyumba na wapangaji wenzangu walidhani mimi ni jambazi, siku walipojua kazi yangu walishangaa

    Kwahiyo hizo uniform zako ulikuwa hizifui miezi yote uliyokaa hapo? Kuwa makini dogo sungu sungu, na hicho kistori chako cha kutunga
  5. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Hapo mama mstaafu anapigwa tukio na professor KY, Halafu msala utamuangukia aposto japo hajalamba hata mia, aposto ataenda kumtafuta mzee dingi kule kwake atakuta ameshahama. Na hapo rasmi aposto atakuwa katupwa kwenye maji kutoka kwenye mtumbwi wa vibwengo.
  6. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Dan!😂 😂 sasa mzee dingi kilichofanya akukimbie ni nini!! halafu akapita pale pale nyumbani kwake!!😂
  7. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Bora umuulize, yaan mtu akishabikia uto...tu akili zinapungua automatically
  8. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania "Una malengo gani na Mimi?"

    Kaswali kadogo hivo kanakuvuruga nini mzee!! Au hujui kama mademu wanapenda kusikia wanachotaka(uongo). Anajua kabisa hutamuoa ila anakuuliza hivyo ili umjibu tu utamuoa halafu anakuambia, mh! Muongo wewe, hapo kasharidhika.
  9. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Wadau kwa waliowahi kudate na Manesi hebu tujumuike kupeana visanga vyao

    Hizo tabia zao ni zipi?
  10. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    Nakubali nakubali mkurugenzi, KATAA NDOA.
  11. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

    Ukishalijua hili wala hupati shida
  12. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

    Heee!!! vipi tena kaka mkubwa, mbona hizi hasira zimevuka viwango vya TBS!! Ni shemeji yako tu kweli!?
  13. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Kugongewa mke inauma sana

    Mwanamke akishaanza kugongwa nje hataacha huyo, hata aombe msamaha huku analia machozi ya kujaza pipa atarudia tu. Uchaguzi ni wako umsamehe huku unajiandaa kuumia tena na kuja kutulilia hapa! au uachane nae kwa usalama wa afya yako ya mwili na akili. Manake ukijua amegongelewa tena utajinyonga...
  14. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu Simba kesho atafungwa tatu

    Sawa mtabiri tambi tambi
  15. Mwanabalagha

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Hivi hawa walimu hawajifunzi kwa wenzao? Ngoja wote waishie jela wakapigwe kipara kwanza.
Back
Top Bottom