Recent content by Mwana wa Zaituni

  1. Mwana wa Zaituni

    China katika mipango ya kupiga marufuku magari yanayotumia mafuta

    Dunia ipo kasi sana,sisi ndo tunagundua mafuta,kama china na dunia ya kwanza wanaanza magari ya umeme na wengine watafuata soko la mafuta si litakuwa kwa nissan patrol nyeupe tu.
  2. Mwana wa Zaituni

    Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

    Urasisi(presidency) ndo taasisi not raisi(president)
  3. Mwana wa Zaituni

    Kampuni ya ACACIA yaipa serikali notisi ya kwenda mahakamani

    Nawakumbusha tu pindi la history baada ya USSR(URUSI ya leo) kumeguka,inchi tegemezi ikiwamo Tanzania(ambayo ilikuwa katika NAM) zilibaki na option moja tu ya kuomba misaada,WESTERN BLOCK led by the US. Matatizo haya ya leo jana na kesho yalianzia hapo kwa sababu ili upate misaada kuna...
  4. Mwana wa Zaituni

    ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    matokeo ya kumpa mtu uliyemuita mwizi hadharani nafasi ya kuzungumza naye,kwa nini sheria isingechukua mkondo wake kama wezi wengine?
  5. Mwana wa Zaituni

    Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

    ukishakubali uteuzi wa kwenda kutekeleza ilani ya ccm upinzani umeuvua na ndio maana mama hapo kakabidhiwa ilani though ni tofauti na ukichaguliwa ubunge ktk zile nafasi 10 za raisi.
  6. Mwana wa Zaituni

    Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

    wazungu kiboko sana,hasa kubwa lao USA....just wondering y now after trump visited the middle east,not coincidence kumbuka pia wazungu walipinga san Qatar kupewa world cup 2022 kwa kulipiza kisasi wakafanya figisu wakamngoa Blatter
  7. Mwana wa Zaituni

    Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

    hivi walishawai kuungana? waarabu wanagawanywa na mapebari hasa USA,unashanga eti Saudi zinaiva sana na USA kuliko na Iran.
  8. Mwana wa Zaituni

    Ronaldo atoa 'like' kwa picha inayomkejeli Messi mtandaoni

    #Messi hashindani na mtu ila penaldo ndo yp busy akishindana na messi
  9. Mwana wa Zaituni

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    ebana umesema unashugulikia ili forex trading iwe legal bongo(that's meas now ni illigal) lakini bank za kibongo unasema zinafanya hii mambo kwa siri adi wafanyakazi wa bank nao adi kujua ni inshu,inakuwaje hapo? inamaana zinafanya illegal business,ww inaonekana utakuwa umefanya SA coz naona...
Back
Top Bottom