[HASHTAG]#Messi[/HASHTAG] hashindani na mtu ila penaldo ndo yp busy akishindana na messi
hapa ilikuaje mkuu?
Hii ndio siku nilipompa messi heshima ya Muda wote.
Nadhani Ronaldo aliumia sana, bado machungu hayajaisha.
Messi hana burudani yoyote! Hana vitu adimu usivyovitarajia! Hana kitu kipya uwanjani! Burudani kwenye kandanda ni sayari nyingine! Raia kwenye sayari hiyo ni adimu! Mpaka sasa raia hao ni 1. Pele 2. Maradona 3. Ronadinho 4. Zinedane Zizane. 5. C. Ronaldo. Raia wa sita bado hajapatikana!Tatizo haamini kuwa anaweza kuwa bora kuliko Mess.
Ronaldo kazi yake ni kuweka rekodi tu ...... wakati Mess ni rekodi pamoja na burudani.
Umemsahau JJ OKOCHAMessi hana burudani yoyote! Hana vitu adimu usivyovitarajia! Hana kitu kipya uwanjani! Burudani kwenye kandanda ni sayari nyingine! Raia kwenye sayari hiyo ni adimu! Mpaka sasa raia hao ni 1. Pele 2. Maradona 3. Ronadinho 4. Zinedane Zizane. 5. C. Ronaldo. Raia wa sita bado hajapatikana!
Kwenye hiyo elclassico Messi alichezewa buti sana. Hapo alipigwa mdomoni damu zikaanza kumtoka lkn alivumilia na hiyo plaster na kufunga magoli mawili makali sana.hapa ilikuaje mkuu?
Ah! Samahani Sana! Okocha noma! Burudani mpaka basi! Nakubali kabisa Okocha kuingia kwenye orodha hiyo! Sema wazungu huwa hawatoi promo inayostahili kwa waafrika!Umemsahau JJ OKOCHA
Ah! Samahani Sana! Okocha noma! Burudani mpaka basi! Nakubali kabisa Okocha kuingia kwenye orodha hiyo! Sema wazungu huwa hawatoi promo inayostahili kwa waafrika!Umemsahau JJ OKOCHA
Mbao FC ya BerlinHivi Mike Iron Tyson anachezea timu gani Uefa?