Recent content by Mwana Mtoka Pabaya

  1. Mwana Mtoka Pabaya

    Nini hatma ya miradi ya Chato?

    Unamzungumzia nani?
  2. Mwana Mtoka Pabaya

    Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    Asee. Hawa sasso mi nawasikia tu. Nyama yao ni tamu? Kuroiler ndio ninawafuga, wanashawishi kuongeza stock kwa kweli. Tatizo watu wengi wamejiita wauzaji wa Kuroiler, ni shida sokoni.
  3. Mwana Mtoka Pabaya

    Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

    Pira Mpapaso halijawahi kumuacha mtu salama. Lazima vichwa viruke, hamna namna
  4. Mwana Mtoka Pabaya

    Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

    Wale jamaa kule kwao Nigeria wanagawa mikonzi hatari sasa naona mbumbumbu wameanza kutafuta sababu.
  5. Mwana Mtoka Pabaya

    Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    Sijajua kama unayaongea haya kwa uzoefu au ushabiki. Ili useme juu ya utagaji wao inapaswa tuwe na mfano wa kulinganisha nao. Je unaposema hawana utagaji mzuri, utagaji wao ni mbaya kulinganisha na aina ipi? Hao waliokwambia kuku anataga mayai 95 tu kwa mwaka, wanazungumzia mwaka wa utagaji au...
  6. Mwana Mtoka Pabaya

    Viongozi wa Simba wanataka kutuaminisha Simba SC ni unbeaten

    Simba ni katimu ka kihindi, kalifaa tu kacheze cricket au songi. Katimu ambako kaliundwa wa watu waliokosa Uzalendo. Muda si mrefu, taifa litaingia aibu sababu ya haka katimu kanakomilikiwa na mwamedi
  7. Mwana Mtoka Pabaya

    Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Na sisi upande wetu tunaita Wajane kwa lazima waje kuhutubia, sababu pumzi bado nyingi :D :D :D
  8. Mwana Mtoka Pabaya

    Uchaguzi 2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

    Muanzisha mada unapaswa kujua kuwa kuna tofauti kati ya NCHI na SERIKALI. Wewe kwa ufahamu wako, unadhani Lissu anaisema serikali au Tanzania?
  9. Mwana Mtoka Pabaya

    Mchomvu 'mabangi' anapoonesha mabange yake

    Jamani mwenye huo mtama si aupost na mimi niuone
  10. Mwana Mtoka Pabaya

    Geita: Wananchi wafanikiwa kumuua mamba aliyeua wakazi 5 akiwemo mtoto wa darasa la 3

    We nawe mbumbumbu kweli kweli, UTHIBITISHOA WA KIHISTORIA? Historia inathibitisha jambo vipi wakati yenyewe ni story? Ningekuelewa kama ungetaka uthibitishoa wa Kisayansi. Au ndio wale wa akili za kushikiwa na mzungu, huamini kitu hadi upate maadishi ya Kiingereza? Haya, soma hapa Nyongo ya...
  11. Mwana Mtoka Pabaya

    Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

    Kumbe MUME ndio mhimili eeh, huku kwa wananchi tunachanga...Mo nyie bakieni naye. Ila kama vichwa vinafanya kazi vizuri (na sio kuvunja viti mode), basi mkumbuke kuwa huyu huyu Morisson ndio alituambia rais wa klabu yenu ya Mbumbmbu FC amemtumia $10k, lkn kwake zimefika 5
  12. Mwana Mtoka Pabaya

    JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

    We kaa usubiri mifano ya maskini, naamini wewe utakuwa mfano.
Back
Top Bottom