Uchochoro wetu tukikutana finalls, kama mtu unalead 3-1 tunakuja kukugonga game 4 zote zilizobakia wewe ni uchochoro
plus tumerudia mechi ya mwisho juzi na tumewagonga pia, what else niseme kuhusu GSW kwa CAVs?
Ishu sio Cavs kufungwa, kumbuka kuna mechi lazima u sacrifice
Kwa sisi CAVS tunaangalia big matches, tayari GSW kwetu kashakua kichochoro ndio cha msingi kwa sababu tunauhakika tunakutana nae tena kwenye finalls
PISTON waache nao wapate ushindi but mwishoni statistics zipo wazi,
Inabidi GSW...
Play offs its all about experience na kama jana ulivyoona GSW walifungwa kwa experience; irvin kashakua mkubwa saana katika clutching points, anafanya in a row showing off kwamba in the finals hakubaatisha
Kwenye mfumo wa banki nivigumu siku hizi kurudisha kiolela tuu kwa kua majambazi na matapeli wengi washajua hio ndio njia rahisi kumtapeli mtu
1. Wahudumu wanabidi wahakiki kwamba upande wapili kuna hela au la! Siku hizi watu wengi wameshakua matapeli, wakiwekewa hela tuu wanatoa au kuziamisha...
Itaondoka tuu; wewe unadhani nani ataweza kama sio LOWASA
Huyo ndio mwiba kwenu ndio maana mnamtaha taja saaana
Hamna makapi au matapishi hapa
Sie tunawaachia matapishi ya kadi zenu za kuchanwa tuuu
Vijijini washaamua sijui mtaibaje
Hamna kitu hapa, yaani Tanzania ishakufa sasa, uongozi no wito na sio umaarufu,
Tunapoelekea ni kubaya sana na hapa tulipo sio pazuri hata kidogo.
Enzi za mwalimu upuuzi huu uwezi kuuona, haya yote ni kwa sababu watu hatupo serious at all.
Entrace ni 900,000/=, lakini unachokipata mwezi wa kwanza sio na ulivyo invest, then unabidi ustruggle kuunganisha na kuuza bidhaa zao, sasa huo si upuuzi
Actually hio biashara ni kama wale wauza mabeseni, the more you sale the more you get
And lastly, wanafaidika wachache waliokua juu ya tree...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.