Nilisikia matokeo ya ubunge wa Monduli katika radio na ilitangazwa kuwa Mh Lowassa ametapa ushindi wa 93.7%. Nimepitia website ya gazeti la Mwananchi linaonyesha kuwa alipata kura 3,236 dhidi ya kura 2,358 alizopata Bw Mollel wa CHADEMA. Ushindi huo ni wa 57% na Chadema 42%.
Je ni kweli jimbo la Monduli lina wapiga kura 5,661 Tuu?
Je ni kweli jimbo la Monduli lina wapiga kura 5,661 Tuu?