Recent content by Mwamundela

  1. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

    Na polisi wameshindwa jua iyo kiki? Basi polisi watakuwa weupe sana kama polepole katafuta kiki na polisi hawajui alipo. Mzaha sio mzahaaa
  2. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania BEST HOME TUTORING – Elimu Bora Nyumbani Kwako (primary ,Form One to A-Level)

    Habari wakuu, Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako. ✅...
  3. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Je, tukishafanikiwa kimaisha huwa tunawakumbuka kwa Shukrani Kauli, Pesa na Mali wale waliotusaidia Shidani?

    Mkuu haya ni mawazo ya kabla hayajalia mbwata. Yakisha Lia mbwata mkuu utasahau tu. Mimi nimewaona wengi Sana yakilia wanasahau though wapo wanaokumbuka.
  4. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

    😂😂😂😂😂
  5. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Watoto wadogo ndani ya hijab

    Duuuu🙈🙈
  6. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa sayansi A level

    AHSANTENI WOTE AMESHAPATIKANA KYPITIA JAMVI HILI. NAWASHUKURU MNO, SEMA NASHINDWA NAMNA YA KUIFUTA POST HII ILI TUSISUMBUE WENGINE
  7. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa sayansi A level

    Nakupigia
  8. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Mwalimu wa Physics na Chemistry

    Nipe namba p Nipe namba pm mkuu, ikiwa Leo itapendeza, location ni kitunda
  9. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa sayansi A level

    Habari Wana jamvi, It's urgent, anahitajika mwalimu wa chemistry mwenye uwezo wa kufundisha A level. Location ni BANANA UKONGA DAR ES SALAAM. Aliye tayari nitumie namba inbox.
  10. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namtafuta Carlos Sendwa

    Hahaha Umeelewa tofauti mkuu, Kuna movie inaitwa three idiots. Ila hao kwa vile ni wawili washikaji nikaweka 2. Ila pia kimtukana nisiyemjua naweza tu🤣🤣🤣 japo sijawahi. Fa mchezo jua hili
  11. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namtafuta Carlos Sendwa

    Sijatukana mkuu. Kuna movie inaitwa three idiot, inafanana na kisa hiki
  12. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namtafuta Carlos Sendwa

    Two idiots, Kila la kheri
  13. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Aisee mbombo ngafu
  14. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Malkia Elizabeth wala siyo Muingereza, Uingereza inatawaliwa na foreigners!

    Asa wa mosri mbona ni weupe? Mo Sarah
Back
Top Bottom