SAINT MATATA
Member
- Dec 5, 2022
- 21
- 34
Habari zenu waungwana? Ninaleta kwenu ombi la nafasi ya kazi kwa shule ambayo ina uhitaji wa mwalimu wa masomo ya physics na chemistry. Ni binti.
Amemaliza chuo mwaka jana. Shule iwe Dar es salaam au mikoa ya jirani. Ni competent na ni hardworking.
Asanteni sana.
Amemaliza chuo mwaka jana. Shule iwe Dar es salaam au mikoa ya jirani. Ni competent na ni hardworking.
Asanteni sana.