Recent content by mwamgongo

  1. mwamgongo

    Nini maana ya hekima na ninawezaje kuipata?

    ukiingia lango kuu pale UDSM, unakutana na HEKIMA NI UHURU,
  2. mwamgongo

    Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

    ukisoma baadhi ya comment humu unaweza jiona fala......kumbe ni kijiwe tu!
  3. mwamgongo

    Ukitaka kuishi vizuri, kaa mbali na ndugu

    Wivu unafanya tufanye vitu bila control, Fanya vitu kwa mpangilio acha kutupia lawama ndugu. Huwezi kuwa na furaha ya dhati km huzungukwi na ndugu.
  4. mwamgongo

    Nani ndugu wa damu kati ya hizi pande mbili?

    mtoto wa baba mkubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwamgongo

    50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

    Ulichojaribu nikuonesha mapenzi tu, soma kidogo utaelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwamgongo

    NEW ZEALAND: Seneta ashambuliwa baada ya kuwalaumu Waislamu kwa shambulio la Msikitini

    Unajua uislam ulikuwepo ulaya lakini??? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwamgongo

    NEW ZEALAND: Seneta ashambuliwa baada ya kuwalaumu Waislamu kwa shambulio la Msikitini

    Uislam haufundishi hayo, acha chuki Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwamgongo

    NEW ZEALAND: Seneta ashambuliwa baada ya kuwalaumu Waislamu kwa shambulio la Msikitini

    Ila ni rahisi kuambatanisha Ukristo na ustaarabu, Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwamgongo

    NEW ZEALAND: Seneta ashambuliwa baada ya kuwalaumu Waislamu kwa shambulio la Msikitini

    Umewahi sikia wapi muuarabu anakua mkimbizi kabla ya wazungu kuvuruga nchi zao. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwamgongo

    Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Unaweza kupercent kabla ya kununua mzigo mpya na kuhifadhi kiasi cha hiyo percent na baada ya mwaka au mwezi.... Au, waweza andaa excel sheet na kujua bei ya manunuzi na mauzo ukajua faida...... Au, wengine ufanya kwa kila siku kutenga kiasi pembeni bila kuathili bidhaa. Sent using Jamii Forums...
  11. mwamgongo

    Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

    Muelekeze ulichotumia mpaka ukapona, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwamgongo

    Ushauri wakuu: Mke wangu amenichagulia mke wa pili nimuoe

    Inategemea na tamaduni za sehemu, usiwe unapenda kuhitimisha hitimisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mwamgongo

    Sitaki tena Sipendi: Viongozi Vijana Wasio na Misimamo Wakiwa na Madaraka...

    Kwani mtu akitoa mapendekezo ndani ya chama au serikali yake ndo kusema anahitaji kwenda upande wa pili,,,,,,,,mnajitekenya, iwe kwa January au Nape hawa ni watiifu wa chama chao. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mwamgongo

    Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

    Shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom