Ukitaka kuishi vizuri, kaa mbali na ndugu

Ukitaka kuishi vizuri, kaa mbali na ndugu

Uzima unatupa kiburi sana
We kijana utakapoumwa hujiwezi kwa chochote kwa lolote marafiki na mademz watakuwa na wewe siku za mwanzo
Baada ya hapo mzigo wote utahamia kwa ndugu
hivyo man wangu AFYANJEMA isikudanganye
Muombe MUNGU akujalie afya njema zaidi
Na uwaombee ndugu zako wapate kuwa bora zaidi
 
Wivu unafanya tufanye vitu bila control, Fanya vitu kwa mpangilio acha kutupia lawama ndugu.
Huwezi kuwa na furaha ya dhati km huzungukwi na ndugu.
 
Kila siku nawaza namuangalia mama yangu sumtyms mpaka nalia (when alone)...najiuliza ivi kuna mtu atakaye kuja kunipenda unconditionally kama anavyonipenda mama yangu ??

Ebana acheni tu. Ndugu wengine sio wengine ni wa ukweli sana. Mimi binafsi huniambii kitu kwa mama yangu na mama zangu wadogo nawapenda mnooo !!!

Ushawahi pewa upendo uliotukuka na mama yako mzazi ukiwa na utu uzima huo ?? That feeling is unexplainable man.

Kingine watoto wako wakuwazaa ndio ndugu zako wa kweli sio mkeo. Keep that in mind.

Mimi nina dada zangu ila bado siwakubali wala kuwa feel kwa lolote. We Live We Laugh ila deep down hamna kitu.

Aint No Woman / Human Alive Can Take Ma Mama’s Place.

Nakumbuka siku nasafiri na utu uzima huu (Nikiwa na kipato changu kizuri tu) Ikafika moment Mama naagana nae kituo cha bus akachomoa Buku 5 akanipa akaniambia ya njiani utatumia....Daah mazee kuna wakati kwenye bus nikajikuta machozi yananitoka tu watu wakawa wananishangaa hawaelewi nawaza nn kichwani mwangu.



Sorry Nimeandika Mgazeti. Lol
 
Back
Top Bottom