Nani ndugu wa damu kati ya hizi pande mbili?

Unataka kupita nao nini, anyway
Ndugu wako wa damu ni watoto wa ba mkubwa /ma mkubwa,

pia watoto wa baba yako wote aliozaa njee, ila hao wamama wako wa kambo kama wana mtoto nje ambae si wa baba yako hao unakanyaga hata ndugu zake mama wa kambo unakanyaga tu kasoro uzao wa baba yako kwa huyo maza

mama yako mzazi uzao wake hata kama ni wa baba mwingine ni ndugu zako wa damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom