Sasa wakati ule ule una place bet wakati inaload odds zinaweza kushuka kutoka 3 mpk 2.8, ndo mana 1x wao wana option ya kuchagua accept odd changes if increase au unachagua any changes apo ndo zinaweza kushuka au kupanda
Alaf mtu anaebeti na kula huwez kumkuta anapiga domo cjui option nyingi, cjui dc mara wakala, mtu aliekuwa serious na kubet huwa ana masoko yake maalu na ni haya haya ya kawaida hao wa maneno mengi ndo wale wanaokopi mikeka ya nigeria anajifanya na yy pro punter
Acha dharau wewe, et 1x2 na dc leta mkeka wako wa izo option unazokulaga na mm nilete mikekea ya 1x2, nyie ndo mnaobeti na jero jero mkija um maneno mengiii
Si bora angesomea ujinga, huyo shule alienda kuongeza idadi ya watoro tu, wazazi wake wanajua ng'ombe yupo shule kumbe ng'ombe nae katoroka kaenda kubaka panzi.
Sasa huu si uchafu dogo? Haya mambo kwani bado yapo? Yaani getoo niache kuweka sound bar ya kibingwa niweke matakataka hayo, bila shaka wewe ni msukuma
Mkuu mwache ajenge akimaliza we nenda kabomoe fensi yako, alaf jenga choo pale pale ulipovunja ukuta au jenga banda la nguruwe kwenye eneo lako, mkuu adui unayemuweza usimwachie mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.