Kisasi ni cha MUNGU,msimhukumu ilanafsi yake inamsuta kama alishiri si tu kumtesa ULIMBOKA bali hata kufumbia macho watu waliomtesa,tumombee apone ila tuendelee kumuachia MUNGU wale wote waliomwaga damu za watz wengi,baadhi ni Mwangosi,wafanyabihashara wa madini,waandamanaji...