Recent content by mwambojoke

  1. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuwa navyo ili uruhusiwe kumiliki duka la madawa .

    swa swali zuri hili.
  2. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Sport Fishing

    Hii bado naulizia
  3. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri ya kupata chakula Iringa mjini?

    Duh sasa hii balaaa
  4. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani mazuri ya kupata chakula Iringa mjini?

    Dah nikajua ngapata chombo na mimi niko hapa sielewielewi, tupeni machimbo wanyalukol
  5. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Utaifa, Utalii na Uwezo wa Kujitambua: Safari ya Ndani ya Tanzania Yetu

    unaweza kutoa mapendekezo ya gharama za Malazi na malazi yenyewe. Mfano kama ni tent, au hotel au ni lodge etc.
  6. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mbao za mitiki kwa haraka sana

    Kuna mtu ana hiz mbao bado?
  7. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Utambuzi kuhusu biashara ya vifaa vya umeme(electrical and electronics devices)

    umefika wap kwenye hili wazo ndugu?
  8. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mrejesho ujenzi wa barabara za Kitunda

    Wakazi wa hicho kipande mjitafakari mnaowachagua , mi nimepita majuzi nilijua barabara itakuwa mkeka kumbe mambi niliyoyaona kipindi cha waitara ni yaleyale.
  9. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta dawa za Kichina kwaajili ya kushusha maji kwenye shimo la choo linalojaa haraka

    Mkuu ulifanikiwa?Mwenyewe katika kucheka kwanu nimekutana na wadau wanauza lakini ni kwa KENYA. Mfano hiz hapa . Ila bado sijajua bongo wap zinaweza patikana za kufanana.
  10. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya jikoni - kuuza chipsi, kuku, supu n.k

    Biashara inaendeleaje huko? Kila la heri.
  11. mwambojoke

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imetangaza mabadiliko ya Mtaala wa kuishia Darasa la 6 lakini hakuna vitabu

    Hivi vitabu bado tu havipo mpaka sasa?
Back
Top Bottom