Ninatafuta mbao za mitiki kwa haraka sana

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,859
763
Wadau
Nimerudi tena jamvini, kama mnavyojua haya ni mambo ya msimu , hivyo sasa nina mahitaji ya mabao za mitiki kwa wingi , kwa ambaye ana mzigo naomba tuwasiliane haraka iwezekanavyo .Najua kuna wenye mashamba ya mitiki ambayo bado haijachakatwa kuwa mbao ,siyo mbaya pia yanaongeleka.ila kipaumbele ni wenye mbao za mitiki zinahitajika kwa haraka sana....
Kipimo : 5 x 3 inch, 7.5 feet
PM kwa walio serious tu tafadhali!
 
Vipi bado unahitaji mbao za mtiki?
 
Muda huu nipo Dar, kwasasa ninazo slippers zipo Dar na Ifakara
Dar ninazo CBM 15, Ifakara ninazo CBM 20..
Pia ninayo magogo ambayo sijayachana.... Haya bado yapo porini. So ikiwa utanipa oder nje ya size ya mzigo uliopo naweza kukuchania mbao size unazo hitaji.
Unazo boss? unapatikana wapi?
 
Ninapatikana sana Dar au Ifakara
Muda huu nipo Dar, kwasasa ninazo slippers zipo Dar na Ifakara
Dar ninazo CBM 15, Ifakara ninazo CBM 20..
Pia ninayo magogo ambayo sijayachana.... Haya bado yapo porini. So ikiwa utanipa oder nje ya size ya mzigo uliopo naweza kukuchania mbao size unazo hitaji.
 
Muda huu nipo Dar, kwasasa ninazo slippers zipo Dar na Ifakara
Dar ninazo CBM 15, Ifakara ninazo CBM 20..
Pia ninayo magogo ambayo sijayachana.... Haya bado yapo porini. So ikiwa utanipa oder nje ya size ya mzigo uliopo naweza kukuchania mbao size unazo hitaji.

Mkuu 1.8m to 2.5m zinakwenda kwa bei gani??
 
Back
Top Bottom