Motowntzjpm
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 134
- 209
Wadau msaada tukutane wapi ambapo Wanaume 4 tunaweza kupata chakula Iringa mjini tukipita saa 7 Leo chakula ambacho sio cha kusubiri, fresh na matunda juisi , nyama , supu Samaki na kuku
Njoo Dodoma hapa kun mbuz choma saf kabisaWadau msaada tukutane wapi ambapo Wanaume 4 tunaweza kupata chakula Iringa mjini tukipita saa 7 Leo chakula ambacho sio cha kusubiri, fresh na matunda juisi , nyama , supu Samaki na kuku
Hakuna Iringa mjini .Iringa yote ni kijijini.Wadau msaada tukutane wapi ambapo Wanaume 4 tunaweza kupata chakula Iringa mjini tukipita saa 7 Leo chakula ambacho sio cha kusubiri, fresh na matunda juisi , nyama , supu Samaki na kuku