Recent content by mwambebhule

  1. mwambebhule

    Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

    Pole sana Ntigy. Bila shaka tatizo lipo kwenye ufahamu wako(subconscious mind). Kuna kitu kunaitwa trapped emotions, inasumbua watu wengi sana duniani. Njoo PM.
  2. mwambebhule

    Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

    Ni muongozo mzuri. Ila pia badala ya chuma anaweza kujenga ya miti, gharama yake ni nafuu sana. Hivi hizo plastik sheet huwa zinapatikana wapi?
  3. mwambebhule

    Kumbe na Mimi ningesomea ukemia leo ningekuwa mkatili, siambiliki, mnafiki na dikteta?

    Jibu ni moja tu, HAWAJIAMINI, na wamejaa hofu ya UMASKINI!!!
  4. mwambebhule

    Mahakama Yazuia NHC kupiga mnada mali za Freeman Mbowe

    Hii ni hatari, NHC wawe makini kwenye hili suala, wasije kuishia kumlipa jamaa fidia kubwa..
  5. mwambebhule

    Je, ni kweli kuwa ulimwengu huu ni kifungo cha nafsi?

    Nikupongeze Jimena kwa uzi mzuri. Ni bahati mbaya sana watu wameacha kufikiri kuhusu mustakabali wao, wamewaachia viongozi wao wa kiroho wafikirie kwa niaba yao. Mambo yanapoenda vile wasivyotarajia hujifariri tu eti "Mungu amependa!" Naamini wenye macho wameona uzi wako, na wenye masikio...
  6. mwambebhule

    Imagination makes reality

    Inasikitisha, uzi mzuri umeharibika.
  7. mwambebhule

    Eternal Punishment cannot be understandable by any one

    Mind your language LadyRed, ni kweli unatamani usinge exist.?Kuna bongofleva mmoja aliwahi kuimba 'aliwazalo mjinga ndilo humtokea'. Hii statement ni ya kweli ktk nyanja zote.
  8. mwambebhule

    Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

    Hapa tabata pia haisomi hata mtandao... Ni emergency calls only!!!
  9. mwambebhule

    Kamati ya maadili ya bunge kujadili kitendo cha Clouds Tv kumhoji shoga

    Hakika wabunge sasa hawana vitu vya kujadili....
  10. mwambebhule

    Hivi kuna pepo la viburi kwa watoto?

    Nimependa mchango wako. Shida kubwa ipo kwa wazazi. Bahati mbaya sana na wao wanajairibu kusukumia lawama kwa watoto! Bila aibu mzazi anasema "watoto wa siku hizi wameharibika"!. Wazazi waache unafiki, wajifanyie tathmini kwanza kama ni kweli wanatimiza wajibu kimalezi kwa watoto wao!
  11. mwambebhule

    TCRA kwa kuendelea kuwadekeza Clouds kuna siku watatuwekea Ngedere kutangaza taarifa zao za Habari!

    Huenda una chuki tu dhidi ya Clouds. Walichofanya ni kitu cha kukiunga mkono. Watoto wetu wanapaswa wapewe nafasi ili wajione kuwa na wao pia wanaweza. Mimi nahisi kama hiyo kitu wangefanya wakenya kwa mfano ungewaona wa maana sana....
  12. mwambebhule

    Viongozi wa juu CUF wapinga Lipumba kurejea uenyekiti wa chama

    Lipumba acha unafiki, wewe ni mtu mzima sasa. Kama unapenda siasa anzisha chama kingine, hao unaodai wamekuomba urudi CUF watakuunga mkono.
  13. mwambebhule

    Je kwanini tunafoka?

    Asante mkuu kwa posti nzuri. Kuna mambo mengi binadamu hatuyajui, hivyo ni vizuri kuacha milango wazi ili tuzidi kupata elimu.
Back
Top Bottom