X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,117
Nawapenda sana watoto wadogo lakini watoto wa kizazi hichi wanatabia mbaya tofauti na sisi tuliozaliwa enzi za zamani vitoto vya siku hizi vina matusi, vijeuri.
.
Vinajua mambo yote ya siri ivi sasa condom ukiificha unajisumbua vitoto vya siku hizi hadi matumizi ya condom vinajua.
Sasa naomba mnieleweshe maana naona kama vitoto vyote ndio tabia zao hizo yani hakuna mtoto hata mmoja wa kizazi hiki niliewahi kukutana nae nikaona tabia yake inaunafuu kidogo.
Tatizo hasa wa mporomoko wa maadili kwa watoto wetu ni nini haswa?
kama ni mapepo jamani tuwaombee hawa watoto maana kama udogoni tuu wamekuwa na vijitabia vya ajabu ajabu je wakikua watakuaje, maana sisi tutazeeka hawa ndio watakuwa wanatulea je wataweza kweli?