naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,065
Wanaohojiwa wengi hawachochei hivyo vitendo ni wanaojuta lakin yule alikua hajutii na anataja had bei za kuuza!kwanza umekiona kipind chenyewe?Mbona hawajadili wakati TV zinapohoji watumia madawa ya kulevya, wazinzi au majambazi?