Recent content by Mwambalule

  1. M

    JamiiForums Tanzania TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

    Hapa bro umeganya 2+2=7. Ni wapi wamesema CCM iko Pacific? Ni wapi wamesema CCM huleta mvua? Ni EU mabwana za wahaini wetu wasalitu ndiyo wanaeneza habaru za mvua na ebola na tumehuru ili kujijengea uhalali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashinda kesi dhidi ya Said Issa Mohamed kuhusu kufungiwa kisiasa

    Tu asubiri shukurani, maana dhanavtuliyonayo CHADEMA kuwa mahakama na polisi wote ni CCM. Kesho na keshokutwa wakisema kukinukishs siyo pilau ya Brenda tusilaumiane....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Cleopa Msuya watinga mahakamani kugombea mali

    👍
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    Jibu rahisi: hata hizi habari ya migomo stendi ya Magufuli na kupotea kwa Nchimbi anazipata wapi? Jela hawanaga ITV? Ni wale mabeberu utawaona mahakamani kila siku. Wana mtu wao katika wafungwa mmoja wao akishirikuana na mmoja timu ya Lissu iliyo ndani anamfanyia research kimya kimya na kumfeed...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Deni limenifunga kazini nataka kutoroka nikalipe kidogo kidogo

    Mwambie ukweli
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

    Dastardly hakupigwa na Polisi, yeye ndiye aliyempiga Polisi. Dastardly alipigwa na Raia wema, kikawaida wangemuua lakini.....akaokolewa na Polisi ndiyo akapelekwa hospitali. Kwa nini kitu raising kama hiki hukioni,
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

    Tabia zao ni sawa tu za wanawake Wamakonde. Hutahiriwa kwa wembe kavu kavu, sawa na Wamakonde kuchanja urembo usoni kwa wembe kavukavu bila anesthesia. Jiandae.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Kuna kitu kimoja hakikwepeki. Ule ujumbe uliovuja kumbeza Magufuli kuwahusisha Nape na Kinana na Makamba wote wawili hauwezi kupotea hivi hivi, nao Kila wakipata nafasi ya kujikosha wabajikosha. Hayo ya kufungwa na mikitano na nini ya 2020 ni kujikosha tu, walioumia ni wale waliostahili kuumia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Hii ni sawa na kumwambia Yesu Kristu ilikuwa ni wajibu wake kukukomboa kwa kukufia msalabani. Sijui unaelewa? Au kumwambia Mama yako alikuwa ni wajibu wake kukuzaa kwa sababu Katiba yetu inatoa haki ya mtoto kuzaliwa? What is wrong with you guys? Miaka 63 ya uhuru, bado huna shukurani? Huna adabu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuwatoa mafisadi jimbo la Solwa 2015

    Good luck my friend. The trouble with Solwa is that it is like a large bank: too big and too important to be allowed to fail. Anyone who is anybody in this nation must have got Solwa's blessings first - from UWT to NEC to the presidency. You see them only at vote time - they must come and they...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)

    Bwana Mohamed Saidi: nakupongeza kwa kutuletea kitabu hiki, Mie nilishasoma original version ya Kiingereza, kwa hiyo nasikitika kuwa translation haikuwa 100% nahisi translator hakuwa mahiri kama wewe au Kiswahili hakinia vibwagizo vilivyoko kwenye Kiingereza kwa hiyo utamu kwa kiasi fulani...
Back
Top Bottom