Msaada wa kuwatoa mafisadi jimbo la Solwa 2015

nina uhakika na ninachokisema hata mbunge wa kasulu mjin. Sisi ndio tuliompa ushaur alikuwa cdm sijui kilichomfanya aende nccr-mageuz lakin mpaka anagombea alikuwa cdm.
 
Good luck my friend. The trouble with Solwa is that it is like a large bank: too big and too important to be allowed to fail. Anyone who is anybody in this nation must have got Solwa's blessings first - from UWT to NEC to the presidency. You see them only at vote time - they must come and they always come. But our leaders are so daft that their paycheck has always been to be uDC or uKatibu Tarafa somewhere. We are so backward that ufisadi is very cheap - nyumba ya bati, nyama ya bukango, mbuli ya uswezi. Kwa hiyo kung'oa ufisadi si kazi kubwa, anzia mindset. Lakini be careful: it looks ignored, but it is not; it commands the whole bloody Sukumaland from Tabora hadi Bunda, ndo maana Sam 6 anagombana na mwenyekiti darasa la 6. Nakushauri jiunge na CCM upitie huko - gharama ya counter-education ni kubwa mno bado tuko nyuma mno. And don't use the racist card: Waarabu wa kwetu wanakubalika kabisa na wengi wao wala si mafisadi. Try another ploy.
 
naona ametumwa, labda naye ni mchango wa hoja.
 
Nashukru sana mkuu! Moyoni nimetiwa nguvu.
Hatimaye tunaanza, mwisho tutashinda!
Karibu sana kwenye uwanja wa mapambano. Wamejivua gamba lakini bado ni nyoka tu.
Mwalimu alisema Tanzania itajengwa na wenye moyo. Sasa hivi tunashuhudia utafunaji tu.
Kuanzia Ikulu hadi kwenye madiwani. Bado naamini Tanzania ya neema inawezekana.
Tuwaondoe mafisadi. Tumponde nyoka kichwani. Karibu kwenye uwanja wa mapambano.
 
nina uhakika na ninachokisema hata mbunge wa kasulu mjin. Sisi ndio tuliompa ushaur alikuwa cdm sijui kilichomfanya aende nccr-mageuz lakin mpaka anagombea alikuwa cdm.
Lazima tu, nijitumbukize humo! Kupitia nguvu ya Mungu na uhauri wa hawa ndugu zangu lazima CDM ipenye solwa
 
Karibu sana kwenye uwanja wa mapambano. Wamejivua gamba lakini bado ni nyoka tu.
Mwalimu alisema Tanzania itajengwa na wenye moyo. Sasa hivi tunashuhudia utafunaji tu.
Kuanzia Ikulu hadi kwenye madiwani. Bado naamini Tanzania ya neema inawezekana.
Tuwaondoe mafisadi. Tumponde nyoka kichwani. Karibu kwenye uwanja wa mapambano.
Asante Jasusi
 
Good luck my friend. The trouble with Solwa is that it is like a large bank: too big and too important to be allowed to fail. Anyone who is anybody in this nation must have got Solwa's blessings first - from UWT to NEC to the presidency. You see them only at vote time - they must come and they always come. But our leaders are so daft that their paycheck has always been to be uDC or uKatibu Tarafa somewhere. We are so backward that ufisadi is very cheap - nyumba ya bati, nyama ya bukango, mbuli ya uswezi. Kwa hiyo kung'oa ufisadi si kazi kubwa, anzia mindset. Lakini be careful: it looks ignored, but it is not; it commands the whole bloody Sukumaland from Tabora hadi Bunda, ndo maana Sam 6 anagombana na mwenyekiti darasa la 6. Nakushauri jiunge na CCM upitie huko - gharama ya counter-education ni kubwa mno bado tuko nyuma mno. And don't use the racist card: Waarabu wa kwetu wanakubalika kabisa na wengi wao wala si mafisadi. Try another ploy.

Ninachofurahia ni kwamba vijana wameamka.
Na uzuri mimi pia ni kijana wa miaka 24 nitakutwa nina 27.
Uzuri nimezaliwa huko, tena nimehama hama sana maeneo mbalimbali ya huko.
Baba yangu ni pastor wengi wanamfahamu.
Ninachotakiwa kufanya ni kujitambulisha tu kwanza katika maeneo mbalimbali.

Nikipitia CCM lazima nitashindwa, na ukweli ni kwamba damu yangu ni CDM.
huyo mwarabu ni muongo kwa haya utathibitisha:-
1. Aliwaambia wanachi amewajengea minara ya simu Zain na Voda. hivi ni kweli yeye ndo alijenga au kampuni?
2. Msaada wa mahindi mwaka 2007 aliwaambia yeye ndio aliyetumia nguvu zake kuutoa, wakati ile ilikuwa ni haki ya wanachi toka serikalini.
3. Alitoa magari kila kwenye zahanati za kata, kwa hili nampongeza, lakini kuishi kwake ni kuleeee DSM hata hajui matatizo ya wananchi wake, gari zinatumiwaje nk.

Angalia haya:-
1. Jimbo la Solwa kama ni mimba za wanafunzi linaongoza. Walimu ndio wachakachuaji wakubwa wa wanafunzi. watoto hawaelewi kabisa umaana wa elimu jimboni humo.
2. Kama unavyoelewa Shinyanga ni mkoa tajiri sana, lakini ukiwa Solwa huwezi kuamini hilo. Tangu aingie madarakani hakuna hata project yoyote ambayo amewezesha kuiingiza humo.
3. Ukiwa Salawe nyumbani kwa mbunge huyo kuna barabara inayoenda Mwanza ikitokea Shinyanga, ukiiona huwezi kuamini. Kuna madaraja mabaya hujapata kuona na wakati barabara hii ndiyo muhimu ana kwa wakazi wa maeneo hayo. Ikiunganishwa vizuri ikaungana na ile ya Mwanza ambayo iko vizuri sana, gari za Mwanza zingine zitapitia Salawe na kufanya mji ukae kibiashara zaidi.
4. Umeme ungepita katika barabara hiyo wakazi wa eneo hilo wangeelewa maana ya maisha na maendeleo.

Vituko vya Dola.
1. Kuna vituo polisi kule ndugu yangu ni kinyaa. Ni sehemu ya wanachi kutesekea. Haijalishi wewe ndo unashitaki au la kama huna milioni 2 tatu hivi hujasikilizwa.
nimechoka kuandika dhambi za Solwa tutakutana 2015 vijana wote ni CDM kumbuka hilo!
 
Nashukru sana mkuu! Moyoni nimetiwa nguvu.Hatimaye tunaanza, mwisho tutashinda!
Ndugu imekuwaje mbona umekaa kimya muda mrefu vile wakati hoja yako ilikuwa nzuri? Au hukujua ulichokuwa unataka kufanya? Au mafisadi wamekununua? Epuka magamba bwana!! Wana mbinu nyingi. Lakini inawezekana na wewe unatoka hukohuko na ulikuwa unasumbuliwa na njaa tu. Walipokung'amua wakakufuata na kukununua ukafyata mkia.Wengi wenu ni wale mliokosa njia ya kulia tu wala hamna uchungu na Tanzania yetu. Watu wa aina yenu ni hatari sana na vyama vya upinzani vinatakiwa kuwa makini sana nanyie, viache kukimbilia kuchukua makapi yatafutayo ulaji, makapi yanayofikiri kwa kutumia tumbo vinginevyo vitakufa kifo cha mende. Sio wewe uliyeanzisha ligi ya mpira kule Solwa wewe? kama ni wewe hukuwa na jipya kwa wanasolwa. Hilo Mwarabu alifanya pia kabla yako na halijawaongezea shibe wala heshima wanasolwa!!! Na kuna fununu mwarabu amekuhonga ukaenda kujenga nyumba Mwanza na kufyata mkia!!! Acha zenu hizo Wanasolwa makini watakuja kuikomboa Solwa yao tu. Kama si leo basi kesho. Aluta Continuaaaa!!!! Mapambano bado yanaendelea.Kuja na mkakati mpya na endelevu kama walivyo wanaCDM wengi!!!
 
Hatari kuna mgombea humu wa CCM alicomment pale juu aesee kaniulia deal kabisa. MAgamba, Magambarer, magambarest.
 
Ona hili. Pumbavu kabisa. Unasema umeuliwa deal? Yaani Maisha ya wanasolwa unayafanya deal la Tumbo lako? Wale wakulima na wafugaji masikini wale walionyuma kwa kila kitu unawafanya deal? Tofauti yako na mafisadi wa CCM ni nni wewe? Same wine!! you want to change the botle only! Get lost you stupid stinking wolf! Wewe si CDM lolote wewe. Tumbo thinker!!

Hapa si kwako. Hapa ni kwa GREAT THINKERS. People who want to carry Tanzania and Solwa in particular to beyond tomorrow!! People's!!!!!!! ________________
 
Back
Top Bottom