Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

Wajuaji, wakipenda wamependa, wanapenda hard, rough sex, wanapenda kutiana, wanapeda kuzaa na wanapenda watoto, baadhi ni wachoyo, hawana soft language wengi command kwao ndio lugha ya kawaida, hawaachiki, mkiachana anaenda kuishi kwenu (kwa mwanaume), ukimkuta mzuri mzuri haswa, anakua na kila sifa, wengi wao sio wasafi, wengi wao wana visimbuzi bila madishi.
Daah oyaa! umewachambua vzr sana
 
Nimekaa kule tarime miaka mitano nimeona wakurya wanapenda mapenzi ety munasemaga warangi hatuwajui kukataa kiufupi sijaishi huko na si wajui hao warangi ila naona sifa zao tu humu ila kuukweli hawawafikii wakurya nilipokua nimepanga wote tulioa wakurya basi tukawa liana tu Kuna huyo mmoja tulikula nyumba nzima na mume wake yupo wakurya hapana
 
Habari wanajf nipo natafta mke naomba kujua sifa za Wanawake wa kikurya
Tabia zao ni sawa tu za wanawake Wamakonde. Hutahiriwa kwa wembe kavu kavu, sawa na Wamakonde kuchanja urembo usoni kwa wembe kavukavu bila anesthesia. Jiandae.
 
Sio wabaya kwa kweli, ila hawakubali kushindwa, and not romantic!
 
Back
Top Bottom