Recent content by Mwamatandala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jamani madenge anakoelekea ni pabaya

    mi nilisikia akisema eti KKKT kirefu chake ni Kibaka Kaiba Kuku Tandale.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lipi jina "wabunge wa bunge la katiba" au "wajumbe wa bunge la katiba"

    mi nadhani ni vema wakaitwa "WADAI POSHO WA BUNGE LA KATIBA"
  3. M

    JamiiForums Tanzania UDOM.....updates info..!

    the long wait..................
  4. M

    JamiiForums Tanzania nimeitwa kwa ajili ya kupima afya kwa wale tuliofanya usaili polisi kitengo cha teknohama.

    I wanted just to share with you this matter gt's.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kung'ara kwa E. Lowassa ndani ya CCM ni pigo la Mwaka kwa Nape Nnauye!

    nape is physically young but mentally old.
  6. M

    JamiiForums Tanzania nimeitwa kwa ajili ya kupima afya kwa wale tuliofanya usaili polisi kitengo cha teknohama.

    jioni ya leo nimetumiwa ujumbe mfupi na afisa wa jeshi la polisi makao makuu kunijulisha kwamba natakiwa kuhudhuria vipimo vya afya ktk hospitali ya polisi kilwa road dar es salaam.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usaili police garduate

    nawasalimu wanajamvi, je kuna yeyote mwenye update za matokeo ya usaili uliofanyika pale DIT kwa watu wa ICT?
  8. M

    JamiiForums Tanzania matokeo usaili wa DIT.

    namaanisha usaili wa jeshi la polisi uliofanyika DIT.
  9. M

    JamiiForums Tanzania matokeo usaili wa DIT.

    wanajamii ninauliza kama kuna aliyeitwa baada ya ule usaili wa DIT kwa graduate wa ICT, mwenye taarifa atajuze hapa jamvini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa graduate waliotwa kufanya vipimo Polisi

    unauliza swali au unatoa taarifa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya chenji?....

    cheenji ni muhimu, itasaidia kununulia sanda na vi tu vidogo vidogo msibani.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania police force

    yap kwa maelezo yaliyokuwepo kwenye sms waliyonitumia walisema majina yapo kwenye tovuti yao. nikaingia sikuyakuta, nikaenda wizara ya mambo ya ndani. nikakutana na ofisa wa ICT wa jeshi la polisi,akaniambia wameshindwa kuyaweka majina hayo kwenye mtandao kutokana na hitilafu kwenye server yao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania police force

    mie niliapply mwezi wa saba, leo nimetumiwa sms ya kwenda kwenye usaili pale DIT wiki ijayo. wamesema majina yote yapo kwenye tovuti yao ; www.policeforce.go.tz.
  14. M

    JamiiForums Tanzania tcaa writing interview

    Mimi mwenyewe niliomba ila bado kimya.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Ukiona gamba JK anasoma risala sehemu wafuate mmoja kati ya wale jamaa karibu yake ambao masikioni wameweka vifaa vya mawasiliano.ongea nao fresh watakupa mchongo. Mi nipo huko lakini nipo na msanii mtoto wa mkulima.ila uwe ni mnafiki haswa,mmbea vilivyo na damu yako ikichanjwa iwe ya kijani...
Back
Top Bottom