Kaka funguka ndugu yangu, hapa kuna watu wanapambana kutafuta kazi na wengine wanapambana kupata vyuo.Sasa unamaanisha kazi ya IT Administrator iliyotangazwa kupitia Sevretariat ya Ajira au unazungumzia usaili wa kujiunga na chuo kwa ajili ya masomo ya undergraduate?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.