Tanzania police force | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania police force

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by RORYAKWETU, Sep 12, 2012.

 1. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Habari jf!, naomba kupata update niliomba nafasi katika jeshi tajwa hapo juu nikiwa chuoni juni 2012 naona kimya kingi.
   
 2. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  una hamu ya kuua!
   
 3. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ndiyo nitaanza na ww
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  afande ulikuwa wapi? majina na vituo vya usaili yalishatoka siku nyingiii..
   
 5. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  unamaanisha graduates au jkt, fvi na fiv?. plz let me know
   
 6. ksimba1606

  ksimba1606 Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  tafuta kazi nyingine, jamaa hawana future, au ufanye njia ya kupita kufanya mambo yako sio kukaa had ustafu!! take it!!
   
 7. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,155
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Achana na jeshi hilo. Jifue JWTZ zinanukia mda si mrefu, tunza afya yako mpwa.
   
 8. M

  Mwamatandala Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mie niliapply mwezi wa saba, leo nimetumiwa sms ya kwenda kwenye usaili pale DIT wiki ijayo.
  wamesema majina yote yapo kwenye tovuti yao ; www.policeforce.go.tz.
   
 9. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ww ni mhitimu wa chuo kikuu? Sababu majina unayosema yapo kwenye tovuti yao ni f4, f6 na jkt.
   
 10. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha ha ha ha RORYAKWETU!!!utanipua au utanirisasi!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M

  Mwamatandala Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yap kwa maelezo yaliyokuwepo kwenye sms waliyonitumia walisema majina yapo kwenye tovuti yao.
  nikaingia sikuyakuta, nikaenda wizara ya mambo ya ndani. nikakutana na ofisa wa ICT wa jeshi la polisi,akaniambia wameshindwa kuyaweka majina hayo kwenye mtandao kutokana na hitilafu kwenye server yao.
  hivyo akanionyesha majina hayo kwenye karatasi na jina langu lilikuwepo ktk graduates wanaotarajia kuwaajiri kwenye idara ya ICT.
  ni hayo tu mkuu.
   
 12. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  We jamaa tulia ucpende sana matani kwenye maisha ya watu. plz
   
 13. Kazakuku

  Kazakuku JF-Expert Member

  #13
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Malawi wameacha kudai mpaka wao au?napita tu.
   
 14. zanishaha

  zanishaha Senior Member

  #14
  May 31, 2013
  Joined: May 28, 2013
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa Juni 2012 tayari watu walishakwenda na mwezi wa saba 2013 wanamaliza kozi so kama bado uko interested jarib tena ,inaonekana haukufatilia mwaka jana kwani walitoa majina baada ya watu kuapply na na mwezi wa 1o tarehe 11 mwaka 2012 waliondoka
   
 15. Metakelfin

  Metakelfin JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2017
  Joined: Mar 23, 2017
  Messages: 2,162
  Likes Received: 1,755
  Trophy Points: 280
  aaaah hizo nafasi siku hizi zimetawaliwa na ukiritimba
   
 16. Hussein Melkiory

  Hussein Melkiory JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2017
  Joined: Jan 25, 2016
  Messages: 4,634
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Kwanini wasema hivyo mkuu??
   
 17. tunage

  tunage JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2017
  Joined: Dec 8, 2015
  Messages: 252
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Siamin nasoma uzi wa 2012
   
 18. Metakelfin

  Metakelfin JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2017
  Joined: Mar 23, 2017
  Messages: 2,162
  Likes Received: 1,755
  Trophy Points: 280
  cha kale ni dhahabu
   
Loading...