nimeitwa kwa ajili ya kupima afya kwa wale tuliofanya usaili polisi kitengo cha teknohama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nimeitwa kwa ajili ya kupima afya kwa wale tuliofanya usaili polisi kitengo cha teknohama.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwamatandala, Sep 29, 2012.

 1. M

  Mwamatandala Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  jioni ya leo nimetumiwa ujumbe mfupi na afisa wa jeshi la polisi makao makuu kunijulisha kwamba natakiwa kuhudhuria vipimo vya afya ktk hospitali ya polisi kilwa road dar es salaam.
   
 2. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Shida iko wap, na ni wangap wamekosa hy chance? Nenda kapime ndg yng.
   
 3. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vp tena unaogopa au unatujulisha umepata wito?
  wewe nenda wacha woga au ujuiamini nini?
   
 4. M

  Mwamatandala Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  I wanted just to share with you this matter gt's.
   
 5. M

  Mundu JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Ama kweli unatupenda na kutujali wana jamii. Asante kwa taarifa!!
   
 6. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  tatizo ppolisi huwa wanazungushana mno, yaani ma wipi (wp-women police) akiliwa na mmoja basi kituo kizima lazima wampitie, mmoja wapo akiwa na ngoma basi woote wanakuwa na ngoma. ndo maana kati ya watu walioathirika ni polisi.
   
Loading...