Usaili police garduate

Usaili police garduate

Ivyo ni vitu vya kawaida sana kupimwa ata JWTZ hupima ivyo!
Angalau wameanza chukua graduates maana kuna polisi huwa nakosa imani na elimu zao kwa maamuzi wanayochukua

kama ni suala la elimu, basi kamhanda utashindwa kumsema, kwani shule ipo. Cha msingi ni kuzingatia miongozo ya utumishi na usiwe na upendeleo wa siasa
 
Kila laheri wakuu kwenye usaili, lakini kumbukeni uvumilivu ndio kitu Muhimu huko. Sio baada ya miezi tusikie kunauzi humu JF kwa ajili ya waliokimbia DEPO.
 
kumbukeni kuna mazoezi mazito sana chuoni. sasa msije kuwa mnataka kuua watu. ukiwa unfit kazi ya jeshini sikushauri, utalaum watu bure

Unajua maana ya mtu kuwa na virus vinavyosababisha Ukimwi(HIV) na mgonjwa wa Ukimwi(AIDS)?
 
Nimepata taarifa kuwa watu waliokuwa wakifanyiwa usaili pale Polisi wameshindishwa njaa tangu asubuhi hadi usiku wa saa moja.

Polisi mjirekebishe iweje mnawatesa vijana wa kitanzania kiasi hicho mjirekebishe.
 
Nimepata taarifa kuwa watu waliokuwa wakifanyiwa usaili pale Polisi wameshindishwa njaa tangu asubuhi hadi usiku wa saa moja.

Polisi mjirekebishe iweje mnawatesa vijana wa kitanzania kiasi hicho mjirekebishe.

UKIOMBA KAZI YA JESHI LAZIMA UGANGAMALE!
 
uzuri walikuambia unajigharamia chakula,malazi na usafiri sa sijui unalalamika nini
 
Hawajajua kwanza kama unawafaa,sasa wakugharimie chakula ili iweje?

Maeneo mengi ya usahili,hivi vitu unajitegemea mkuu
 
nawasalimu wanajamvi, je kuna yeyote mwenye update za matokeo ya usaili uliofanyika pale DIT kwa watu wa ICT?
 
Sasa unategemea wapewe mikate ya blueband, kazi ya jeshi lolote ni kugangamara.Na kushinda njaa kama hujui sasa huenda ilikuwa sehemu ya usaili
 
Nimepata taarifa kuwa watu waliokuwa wakifanyiwa usaili pale Polisi wameshindishwa njaa tangu asubuhi hadi usiku wa saa moja.

Polisi mjirekebishe iweje mnawatesa vijana wa kitanzania kiasi hicho mjirekebishe.

Hv kuna interview yoyote hata hizo za utumishi zote ambazo watu walipewa hata maji ya 200 au bac tu coz ni polisi mnawajengea hoja!? Almost matangazo yote ya interview wanatoa disclaimer kabisa ujigharamie nauli na malazi na chakula sasa unatakaje tena wakat ushaambiwa kule stori tu kula kwenu!
 
Mkuu adi hapo wewe ni disqulify kwenye huo usaili.
 
Kama sio mvumilivu huwezi kuwa polisi hasa hapa tz sasa wewe kwenye usahili tu unataka menu ya uhakika kama ofisa fulani sijui sasa kama ukiwa ofisa wa hilo jeshi kama hutaanza kuomba rushwa
 
usaili ulikamilika wiki iliyopita, mda wowote wanaweza kutangaza walipenya
 
MAJINA HAPAO

Tanzania Police Force

Tanzania Police Force

Tanzania Police Force

Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0713 240480, 0783 392277, 0767 571499, 0713 571499, 0789 204377.

update,

kwa taarifa nilizonazo tayari watu wanaendelea na usaili pale chuo cha polisi, kurasini kilwa rd wanaita wenyewe

UPDATES.

Interview ilimalizika lakini kilichowakuta graduates watasimulia wenyewe. Kifupi ilikuwa hivi,
1. waliofika kwa ajili ya usahili graduate mchanganyiko walikuwa 1,400s, waliotokea pande zote za Tz.
2. Siku ya kwanza ya usaili walipimwa afya na mambo mengine
3. walifanya mtihani written, yakapatikana majina 180 hivi kwa ajili ya usaili wa pili. sijajua kwa nini walichukua 180 kati ya 1400s
4. walifanya oral, majibu ndo yanasubiriwa.
maswali yalikuwaje mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom