Ni kweli kabisa mkuu ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa wabongo wengi kutokana na maoni wanayoyatoa yamejaa ulalamishi sana na huwezi kujua ni nini hasa wanakihitaji. Wakati wa JK walimponda sana na kelele nyingi za ufisani na nchi kukosa mwelekeo. JPM kwa sehemu kubwa kafanyia kazi...
TBC
1. Boresheni ubora wa mwonekano wa picha na sauti
2. Vipindi vingi vilenge kuinadi Tanzania na sio siasa za chama tawala (kama italazimu kunadi vyama kuwe na balance ya chama tawala na upinzani kama kipindi cha uongozi wa Tido Mhando nilijishangaa wakati wa taarifa ya habari nahama channel...
Naunga mkono hoja. Bora iandikwe Ngorongoro/ Serengeti/ Mikumi.... hii itasaidia kutangaza utalii maana huko majuu wengine wanajua Kilimanjaro iko Kenya au East Africa.
Asante sana Shebbydo....shule kubwa unaitoa kwa lugha rahisi sana mtu kuelewa....ingekuwa ni tuition ungekusanya pesa nyingi sana kwani madarasa ya physics huwa haya masomo kwa asilimia kubwa yanafundishwa bora liende wanafunzi wanameza ili wafaulu mitihani. Asante sana kutoa shule kubwa bure....
Mimi ni muumini wa kuwepo kwa Mungu kwa asilimia 100% na nakubaliana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Pamoja na kumwamini Mungu kwa asilimia zote ukweli ni kwamba bado tunaitumia sayansi na teknolojia katika maisha yetu including magari, ndege, simu, dawa n.k. n.k. ("From Christian point...
Mbaya zaidi, badala ya kuwa na umoja wa kitaifa na kutangaza vivutio kama mlima Kilimanjaro, Serengeti, Mikumi, Ruaha, Katavi, Rubondo n.k.... tuko bize kudiscuss ukanda......... kushabikia ukanda utapandikiza mbegu ya chuki na kuigawa nchi vipande vipande. Iwe ni kwa viongozi CCM au UKAWA ni...
Nilikumbana na hizo changamoto za Ethiopian Airlines na Bole International Airport (hasa za ku "cancel route" na kasheshe la miundombinu na utitiri wa watu) on my way from bongoland to Addis. Nilibahatika kufika hadi vijijini na kuona maisha halisi ya Wahabeshi ambapo usafiri wa farasi na ile...
Ha ha ha Kiranga kafanikiwa kuhamisha mada na mwelekeo mzima wa mjadala kutoka kwenye options 4 kwenda kwenye uwepo/absence ya Mungu kisha kamusi za kiswahili/TUKI na BAKITA. Myself I believe in the presence of God the Almighty basing on my understanding and a symbol has got no meaning unless we...
Lowasa ndiyo mpango mzima na tumeshafanya maamuzi ya kumchagua Lowasa. Pamoja na dokta wa kula mihogo kuwa na chuki binafsi na Lowasa sisi tunasonga mbele. Yaani wanavyozidi kumtupia vijembe Lowasa ndiyo chati yake inapanda juu. Tunakuombea kwa Mungu Lowasa ustahimili mikikimikiki yote. Ukiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.