Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 974
- 2,366
mkuu umetishaaaa huyu jamaa Watu wakimuona....wanavurugika akili aiseeeNa bado mtamkumbuka sana,Ngosha kashika mpini
Usiombe uingie kwenye 18 zake.mkuu umetishaaaa huyu jamaa Watu wakimuona....wanavurugika akili aiseee
Ha ha haaa......nimeona sura nikakumbuka....kata.....kata....kataaaaa......
Ama Hakika wameshasoma na wameelewaMlikuwa mwamuita dhaifu, mdini na mengine mengi leo, mwamkumbuka, kweli namba ishasomeka ipasavyo
Ngosha the GreatNa bado mtamkumbuka sana,Ngosha kashika mpini
hasila za mala kwa mala,Na bado mtamkumbuka sana,Ngosha kashika mpini
Mkuu hata namba 7 bado hatujasoma! bado yupo.Sijui kwanini naona kama huyu mtu kashashika madaraka muda mrefu, kumbe hata 2 years bado.
mkuu umetishaaaa huyu jamaa Watu wakimuona....wanavurugika akili aiseee
hasila za mala kwa mala,
kutokua na furaha ,kupenda visasi,kutotaka kusamehe,kutokua na huruma kwa binadamu wenzio,kupenda kuwakomoa wenzio,kuwa na moyo wa husda.
kunamfanya mtu azeheke haraka.