Recent content by Mwalimu Mzalendo

  1. M

    Photo interpretation

    Hii ni hali halisi ya uchumi wa Watanzania wanaoikumbatia ccm wakidhani Nyerere bado yu hai.
  2. M

    Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

    Thread kama hii huletwa tu na wapika majungu na haina maslahi kwa taifa. Na ni mtu asiye na kazi tu ndiyo hufikiria nini cha kuwajibu watu kama hawa,
  3. M

    Wapinzani wasitishe maandamano waunge mkono hekima, busara na uzalendo aliouonesha rais Kikwete

    JK ni msanii na tumemzoea. Kasome taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya Ikulu.
  4. M

    Kikwete vs Lissu, naomba tujikumbushe ya nyuma!

    Kuliko majangili? Kuliko wezi wa rasilimali za Taifa? Kuliko wauaji raia wasio na hatia? Shame on you.
  5. M

    Kama Lissu ni mzandiki, Absallah Bulembo tumwiteje?

    Uzandiki, ufitini na uongo wa Tundu Lissu Watanzania hatujauona ila tulichoona ni Mh. Rais kumshambulia Mh. Lissu kwa sababu zake anazojua mwenyewe ni si kwa maslahi ya Taifa. Ok, but simple mind discussing people and not the idea.
  6. M

    Kabla hujashiriki kuvunja sheria ifikirie familia yako kwanza, kuandamana bila kibali utaishia jela

    Atafanikiwa kuwadanganya wachache wasiomfahamu vizuri na kushindwa kujiuliza Lukosi ana maslahi gani? Je ni miongoni mwa wanaoguswa na matatizo ya Watanzania? Au ni miongoni mwa wanaonufaika na uovu unaoendelea nchini.
  7. M

    Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili?

    Sina chuki na binadamu yeyote aliyeumbwa na Mungu, naiheshimu kazi ya Mungu ila ninachukia matendo maovu aliyofanya Ludovick, fikiria wewe ungeundiwa tuhuma alizoundiwa Lwakatare tena kwa kuongezewa maneno ili tu utiwe hatiani ungejisikiaje? Suala la mimi kuwa mtu wa kukimbiwa haina tatizo kwani...
  8. M

    Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili?

    Ludovick kwa sura iliyopo ni shushu toka ccm na hahitaji wakili kwa nafasi yake na kazi aliyowafanyia ccm.
  9. M

    Zitto ni kiongozi shupavu

    Umewahi kumsikia akisema neno wakati Chadema kinapata mtikisiko? Mawasiliano yake na Denis Msaky wa gazeti la Mwananchi ambaye sasa yuko kwenye sakata hili la Lwakatare kila mwenye akili utajihoji maswali mengi na siyo kumpamba kama anavyofanya mleta mada au pengine inawezekana mleta mada...
  10. M

    Zitto ni kiongozi shupavu

    Mkuu ni mapema sana kuwataja sasa hivi. Huwezi kumjua mwanaf. atakayepata division one kabla hajafanya hata test. Ila ni jukumu langu mimi na wewe kupima na kutathmini, je huyu anayetajwa tajwa anaweza? na mikakati yake ni ipi? Kinachonishtua ni kuwa mtu anaibuka tu kusema fulani anafaa kuwa...
  11. M

    Zitto ni kiongozi shupavu

    Mleta mada hata kama unampenda ZZK kwa hoja dhaifu ulizozitaja mwenyewe bila kujali mahitaji ya Watanzania kwa wakati huu, kujadili watu wengine wasiopaswa kuhusika ni mapungufu makubwa hata kama unayosema yana ukweli. Tambua Watanzania tunahitaji mtu jasiri na mwenye uwezo wa kupambana na...
  12. M

    Mhe. Rais Kikwete na ziara ya Mabwepande

    Kushirikiana na CCM kunahitaji umakini wa hali ya juu, jiulize ni kweli unapendwa kwa dhati na adui yako au anakuvuta kwenye 18 zake kama ilivyotokea kwa mahasimu wa A. Kibanda. Tafakari ukipenda chukua hatua.
  13. M

    Lwakatare vituko vitupu: Polisi wasaka maandiko yake ofisi za CHADEMA, Salva amtetea Michuzi

    Salva Rwemamu mpaka sasa hajaona kosa la mpiga picha wa rais kushare hiyo taarifa na wafanyakazi wa Ikulu, wao kama Ikulu wameona ni sawa na hakuna tatizo ndiyo maana wanafurahia. Kweli Ikulu imepata watu, pole kwetu Watanzania.
  14. M

    Maskini Tanzania wanyama zaidi 140 wameenda bure Qatar

    Udhaifu na kujipendekeza kwa mataifa ya nje ni sababu pekee za rasilimali za nchi kuondoka chini ya utawala wa ccm na rais Kikwete. Watanzania turejee historia ya ukoloni.
  15. M

    Jeshi la Polisi lapekua ofisi ya CHADEMA Makao Makuu!

    Sidhani kama tutafika tulikotarajia kama Taifa. Hii ni aibu kwa Taifa na Watawala wenye dhamana. Haya yanayotokea si matarajio yetu hata kidogo.
Back
Top Bottom