Zitto ni kiongozi shupavu

Zitto ni kiongozi shupavu

Status
Not open for further replies.
Mleta mada hata kama unampenda ZZK kwa hoja dhaifu ulizozitaja mwenyewe bila kujali mahitaji ya Watanzania kwa wakati huu, kujadili watu wengine wasiopaswa kuhusika ni mapungufu makubwa hata kama unayosema yana ukweli. Tambua Watanzania tunahitaji mtu jasiri na mwenye uwezo wa kupambana na ufisadi, rushwa, ujinga, umaskini, maradhi na udini unaoenea kwa kasi. Cha msingi tupe mikakati yake ya kufanya haya mambo kwa ufanisi.
 
zitto ni kijana ambye namkubali ,kwanza hapend kuburuzwa ana kisimamia anachokiamin kuwa ni sahihi kwa maslah ya weng na si kwa maslah ya walaf wachache...BIG UP ZZK.
 
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua kuwa Zito ndio jembe pekee linaloweza kupata kura ya urais kama akigombea kwani baada ya sakata lililopo la lwakatare Jina la Dr limeanza kufifia kwa kasi kwani muda si mrefu Ludo ataanza kutoa siri.
Wanachama wengi wa mikoani wanamkubali sana zito kuliko Slaa ambaye anaonekana kukubalika maeneo ya njiro na karatu tu. juzi niliongea na vijana wenzangu pale unga ltd na wengi walionekana kumsifia sana ZZK

Hapa nafahamu wazi yakua wale wanaodhani kuwa CHADEMA ni Slaa na Mbowe watakuchukia sana. Lakini ukweli nikwamba, kama CDM ikitaka kuchukua nchi hii 2015 hawana namna yakukwepa kumsimamisha ZZK.
 
Mleta mada hata kama unampenda ZZK kwa hoja dhaifu ulizozitaja mwenyewe bila kujali mahitaji ya Watanzania kwa wakati huu, kujadili watu wengine wasiopaswa kuhusika ni mapungufu makubwa hata kama unayosema yana ukweli. Tambua Watanzania tunahitaji mtu jasiri na mwenye uwezo wa kupambana na ufisadi, rushwa, ujinga, umaskini, maradhi na udini unaoenea kwa kasi. Cha msingi tupe mikakati yake ya kufanya haya mambo kwa ufanisi.
Bila shaka wewe unawafahamu viongozi wenye sifa hizo? Ni kwanini usiokoe muda wetu kwa kututajia japo wawili tu?
 
NINGEPENDAA ZITO AWE RAIS WANGU WA 5. SBB ANAUWEZO,ANAJIAMINI,ANARECORD NZURI, HAKUBALI KUBURUZWA PALE HAKI INAPOPINDISHWA.

Kuwa Rais wako inawezekana, ambayo ni tofauti na kuwa Rais wa nchi..
 
Na wewe unajiona una uwezo wa kujua Dhana zote za Zitto kabwe sio? Kajifunze Egoism Principle ujue sifa kuu ya Wanasiasa waloleta MabadilikoDunian walikuaje? Unamjua Kiongoz wa Tz alojulikana kama Bwana Haambiliki? Uwezo wa Zitto ni wa juu kiasi cha Thiking capacity zenu kuelea elea hewani!

Tatizo lako ni kwamba unamhusudu Zitto na huwezi kukubali ukiambiwa pungufu lake lolote. Uko kama mvulana kijana aliyeoonja penzi kwa mara ya kwanza; husikii, huelewi, hukubali - wewe ni Zitto tu!!!
 
Bila shaka wewe unawafahamu viongozi wenye sifa hizo? Ni kwanini usiokoe muda wetu kwa kututajia japo wawili tu?

Mkuu ni mapema sana kuwataja sasa hivi. Huwezi kumjua mwanaf. atakayepata division one kabla hajafanya hata test. Ila ni jukumu langu mimi na wewe kupima na kutathmini, je huyu anayetajwa tajwa anaweza? na mikakati yake ni ipi? Kinachonishtua ni kuwa mtu anaibuka tu kusema fulani anafaa kuwa rais, lakini ukimwuliza huyo mteja wake ana mikakati ipi kututoa hapa tulipo? Hata yeye mwenyewe hajui.
 
Hakuna cheo cha kaimu mkuu wa UWT, unaendeleza upotoshaji na ushabiki wa hoja za kuunga unga uonekane wajua
Asante kwa kunisahihisha,huyu Jack Nzoka ni nani na mazungumzo yaliyonukunuliwa na gazeti la Mwanahalisi pamoja na muda yalipofanyika ilikuwa kati ya Zitto na nani?
Sina sababu yoyote ya kutaka nionekane kuwa najua kwani hapa hakuna mtihani wala si sehemu ya kupima uwezo.
 
  • Thanks
Reactions: PhD
Asante kwa kunisahihisha,huyu Jack Nzoka ni nani na mazungumzo yaliyonukunuliwa na gazeti la Mwanahalisi pamoja na muda yalipofanyika ilikuwa kati ya Zitto na nani?
Sina sababu yoyote ya kutaka nionekane kuwa najua kwani hapa hakuna mtihani wala si sehemu ya kupima uwezo.

Nimekupa like sababu ya uungwana wako
 
Bungeni pazuri,mjengoni kuna hela,panahitaji kujiamini kweli vijana wengi wana ndoto na kuingia pale kuongea kwako,kuibua mambo,ubishi,kusimamia haki nadhani mbuge makini anahitajika kufanya hivyo
 
Pigeni tarumbeta zenu na vijembe lukuki, lakini maamuzi ya wananchi hamna mamlaka nayo kwenye sanduku la kura! Msitoke ndita kwa ushabiki na imani za kishabiki!!!!
 
Mi huwa siwaelewi watu wanaodai CDM kuna makundi, siwaelewi kabisa sbb mi naona ni chama kimoja, hakijagawanyika kimakundi
 
Ni shupafu kupanga dili za kuiangamiza Chadema pamoja na usalama wa taifa.
Kama utakuwa uko huru kifikra wala cio ushabiki utaona mheshimiwa ZITO ni kiongozi makini kwann nasema ivo yy ndo chachu ya ukombozi tazama aliingia bungeni akiwa kijana mdogo lakin mzee wa mvi kwa hoja tazamA michango yake bungeni, tazam hoja binafsi anazopeleka bungeni bila shaka kuna watu hawana shukrani mm ZITO hanijui wala cmjui zaidi ya hoja zake msimamo kijiamini.watu wanaweza kumsema vibaya kwa kuwa hawapendi ukweli wanafata majina makubwa ya chama ambapo wasingependa uhoji hoja zao u have to accept anything they say and don challenge. Wapo watu hawaangallii historia ZITO ndio amewaspire vijana wengi kupenda siasa. NINGEPENDAA ZITO AWE RAIS WANGU WA5. SBB ANAUWEZO,ANAJIAMINI,ANARECORD NZURI, HAKUBALI KUBURUZWA PALE HAKI INAPOPINDISHWA. ILA NAJUA VIKWAZO NI VINGI NAWAONA MADIKTETA WA HOJA,WASHABIKI WA WATU BADALA SERA NA HOJA ZA MTU. NAMUOMBEA MUNGU AMLINDE NA KILA MWENYE NIA MBAYA NA MKOMBOZI HUYU WA TAIFA LA TANZANIA,MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA
 
Chadema ya sasa inashikiliwa na Mnyika pamoja na Zitto. Asiyeamini maneno haya aangalie upya migogoro yote iliyowahi kumuhusisha Zitto mpaka sasa, chama ndo kilikuwa kinaachwa dhaifu wakati kijana anazidi kupata umaarifu.

Therefore, kimkakati Zitto ni zaidi ya Chadema yoooote.

Mnyika namkubali sana, tatizo he is currently in the "wrong" party.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom