Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili?

Maswali mengine bhana? Kw kudhania tu lwakatare atatoka afu ludo abaki?jijibu hata kama hana wakiri?
 
Nimekuwa nikisoma comment zako nikagundua kuwa kumbe na wewe ni mmoja ya watu wasiojitambua bado. Pole sana kaka. Mungu atakusaidia siku moja
Ludovick Ni mwanachama wa chadema kama wengine tu
Huyu ni kamanda mtiifu tena alie karibu sana na uongozi wa juu
Tatizo ni kwamba wakati wowote kikinuka Chadema huwa inawasahau na kuwakana makamanda wao. Na ili wasije husishwa na matatizo yako watakuita masalia.
Huu uwe mfano mzuri sana kwa makamanda wengine wa chadema kuacha tabia za kufuata upepo kwani siku kikinuka wajue imekula kwao. Watakaoumia ni ndugu na familia yako
 
Sasa tumuamini nani? Wenzio wanasema huyo kijana anatumiwa na chadema,

wewe unasema kajitolea kuitetea nchi yake!
Aiseee ngoja nisubiri mwingine atasema ni nani!
Wenzake kina nani?. Kila mtu hapa anatoa mawazo na maoni yake kwa jinsi anavyofikiria. Hii siyo propaganda kama kwa jinsi unavyotaka tufikirie.
 
Mwambie awaulize madiwani wa Ars walowaambia wafungue kesi dhidi ya chadema mbona wamewatosa kwenye kulipa fine¿¿¿.
 
Ni miezi mitatu tu iliyopita LUDO alidivert email yangu kwa mjengwa na kuipeleka makao makuu yenu mkamuita shujaa na kujisifia inteligensia yenu .. leo bila aibu mnamuita masalia na kumkana kwa sababu yuko kwenye matatizo.
Tusubiri kijana aongee afunguke na hapo ndio tutajua mengi

Wewe unaweza kuandika e-mail gani yenye impact kwa CHADEMA hadivupewe attention na makao makuu?Is this anothe way ya kuwa politically Relevant?
 
LUDOVICK na Ben saanane wanajuana sana.Ndio waliokuwa wakifanyakazi hapa Jf ya kukitetea chama na Dr.slaa.
Dr.slaa ndani ya chama ndiye aliyemuajili Ludovick kutokana na namna alivyoanzisha harakati vyuoni hasa Udsm za chadema.
Pia ludovick alikisaidia chama kwenye chaguzi za marais wa vyuo cumpus za udsm mwaka 2011 wenye mlengo wa chadema.
Ludovick ni mtu wa ndani wa CHADEMA.NAHOFIA IPO SIKU CHADEMA WATAKUJA KUMKANA BEN SAANANE KWAMBA HAWAMFAHAMU WAKATI NAYE YUPO KITENGO MAALUMU~USALAMA
Hakuna atakayekuamini tangu uanzishe mradi wa kukwapua simu.Kama umefikia hatua ya kuiba kwa kutumia nguvu,kama huaminiki mbele ya simu au kifaa chochote cha kielekroniki ni dhahiri hautaaminika katika hoja yoyote ile.Ni ngumu kukuamini maana wizi na uongo ni tabia zinazoendana
 
Ludovick kwa sura iliyopo ni shushu toka ccm na hahitaji wakili kwa nafasi yake na kazi aliyowafanyia ccm.

Nilijua HUWEZI KUMKANA LUDOVICK,NI MFANYAKAZI MWENZAKO KITENGO MAALUMU CHADEMA.

Utaishia kusema hayo maneno yenye chuki.UKWELI UTABAKI PALEPALE WEWE NI SEHEMU YA WATU WANAOTAKIWA KUKIMBIWA SANA.
SIO MZALENDO KWA TAIFA LAKO,NI KIJANA HATARI NA HUFAI KABISA.
 
Hakuna atakayekuamini tangu uanzishe mradi wa kukwapua simu.Kama umefikia hatua ya kuiba kwa kutumia nguvu,kama huaminiki mbele ya simu au kifaa chochote cha kielekroniki ni dhahiri hautaaminika katika hoja yoyote ile.Ni ngumu kukuamini maana wizi na uongo ni tabia zinazoendana
Usiwe na wasi wasi kwa sasa, ukumbi utakao kufaa kwa kumwaga vibwanga ni mahakamani. Wewe cha muhimu kwa sasa, Muombe tu shetani ili Ludovick asikutaje mahakamani. Ndiyo maana baada ya kukamatwa, ulipatwa mshangao.
 
chademu ngoma ngumu, wameshikwa pabaya coz wakimkana jmaaa atazidi kuwapasua hawezi kukubali kufa peke yake atatoa hadi mafile ya chacha wangwe hehehe, na wakimkubali chademu ndio kwishnei, hii ndio mbwa kala mbwa
 
We unaeuliza swali si muheshimiwa wewe?tna uko depo!kumbe JKT training mnaruhusiwa kuwa na simu?au wewe kwasabab MH ndani ya chama!mpe zamana mtu wako "bhaaa.........unavyofanya sio vizuri...."

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Waingereza wana methali inayosema "when you chase a rat while your house burn you are foolish" nafikiri unaelewa watu watakushangaa kama unaendelea kufukuza panya badala ya kuokoa hata Tv, radio nk unafukuzana na mapanya ambayo yalikuwa yannatafuna nguo zako bila ya wewe kujua kama nyumba yako ina panya. Nafikiri hili ndilo jibu. .
 
chademu ngoma ngumu, wameshikwa pabaya coz wakimkana jmaaa atazidi kuwapasua hawezi kukubali kufa peke yake atatoa hadi mafile ya chacha wangwe hehehe, na wakimkubali chademu ndio kwishnei, hii ndio mbwa kala mbwa

ccm na CDM ni vyama tofauti sana. CDM wako natural na hawahitaji kutumia raslimali zao na muDA kuumba scenarios kwa hila kama ccm. Wakati ccm wanakesha wakitengeneza hujuma ama kuremba sura yao ya nje, CDM wanyakata mbuga na mawingu kwa kasi ya radi kufikia mioyo ya Watz ndani na nje ya nchi.

Ushauri wangu, hoija zako zihifadhi hadi mtakapo fikia hatua ya kulifanya shauri la LUDO kuwa ni la CHADEMA.
Pole.
 
Muulizeni shonza, kama kweli mmoja wa Masalia waliowasahau chadema ni Ludo
inawezekana CHADEMA hawajui jamaa kama ni CHADEMA au CCM. Kila mtu anahaki ya kupatiwa mwanasheria kwenye kesi yeyote ile. Kwa kumtendea haki ,ushahidi na maelezo yaliopatika mpaka sasa ni kwamba huyu kijana amerekodi mazungumzo yake na Lwakatare akampatia Mwigulu nchemba. ni jukumu la Mwigulu Nchemba na CCM kumpatia kijana wao mwanasheria haraka iwezekanavyo. lasivyo kwenye kutetea watu wao Chadema 1 - 0 CCM
 
Last edited by a moderator:
Hapa nime-click "LIKE"
Hakuna atakayekuamini tangu uanzishe mradi wa kukwapua simu.Kama umefikia hatua ya kuiba kwa kutumia nguvu,kama huaminiki mbele ya simu au kifaa chochote cha kielekroniki ni dhahiri hautaaminika katika hoja yoyote ile.Ni ngumu kukuamini maana wizi na uongo ni tabia zinazoendana
 
Usiwe na wasi wasi kwa sasa, ukumbi utakao kufaa kwa kumwaga vibwanga ni mahakamani. Wewe cha muhimu kwa sasa, Muombe tu shetani ili Ludovick asikutaje mahakamani. Ndiyo maana baada ya kukamatwa, ulipatwa mshangao.
Hii kesi itaisha bila kutajana mahakamani.ila baada ya hii kesi, kuna watu watafukuzwa chadema kutokana na hujuma hii.na usishangae kuwaona wanapokelewa na Vasco Da Gama kwenye CCM kama mashujaa, na kuzunguka nchi nzima wakitumiwa kama mipira ya kiume.
 
Umekosea inawezekana ni kweli Ludo akuwa na cheo chochote, ulipaswa kuuliza, Ludo alifanya kazi chini ya kiongozi gani CDM na alikuwa na majukumu gani?
 
Back
Top Bottom