Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili?

Ludovick ni rafiki mkubwa na mfanyakazi mtiifu wa maggid ambae no doubt kua ni Gamba.

Ukielewa hivi basi hutojiuliza sana why alikua CDM. Hii

Huyu maggid atakua anahusika kwa kiasi kikubwa kwenye hii issue.
 
Last edited by a moderator:
huoni aibu,?
Unamkana kijana mwenzako ndani ya chama! Utajisikiaje mnyik akikukana wewe wakati ndiye kakupa kazi hiyo ya uandishi wa habari ya chadema?

Ludovick hakuwa kuwa na cheo chochote?.

Ludovick joseph amekuwa mwenyekiti wa chaso duce mwaka 210 to 2011.
Ludovick amekuwa mtumishi wa kitengo maalumu chadema~usalama.
Ludovick amekuwa kwenye mawasiliano ya cha chama kwenye chaguzi na jf

sasa ilikuwaje huyuhuyu ludo akawa ni mfanyakazi na mshirika wa karibu na majid mjengwa wakati mjengwa anajulikana ni kada mkubwa wa ccm? Kwa wanaojua kufikiria hapa ni kwamba ludo na mjengwa wote walikuwa ni double agents waikiisaidia either ccm au cdm.muda ndio utakuja kufunua yote!
 
kwa kweli nchi yetu ni janga sana kuwa na watu kama wewe mleta maada hapa mbona wewe hutaki kumtetea?
 
LUDOVICK JOSEPH AMEKUWA MWENYEKITI WA CHASO DUCE MWAKA 210 TO 2011.??????
hili balaa kwelikweli
 
Kama ulivyojitolea kupoteza bites zako humu,poteza na nauli yako nenda pale vidilisha vya KEKO kamuulize LUDO mwenyewe,au muulize mwigulu.
 
Nilijua HUWEZI KUMKANA LUDOVICK,NI MFANYAKAZI MWENZAKO KITENGO MAALUMU CHADEMA.

Utaishia kusema hayo maneno yenye chuki.UKWELI UTABAKI PALEPALE WEWE NI SEHEMU YA WATU WANAOTAKIWA KUKIMBIWA SANA.
SIO MZALENDO KWA TAIFA LAKO,NI KIJANA HATARI NA HUFAI KABISA.

Sina chuki na binadamu yeyote aliyeumbwa na Mungu, naiheshimu kazi ya Mungu ila ninachukia matendo maovu aliyofanya Ludovick, fikiria wewe ungeundiwa tuhuma alizoundiwa Lwakatare tena kwa kuongezewa maneno ili tu utiwe hatiani ungejisikiaje? Suala la mimi kuwa mtu wa kukimbiwa haina tatizo kwani umewahi kuona wapi "NURU INAIKIMBIA GIZA? ILA PENYE NURU GIZA HAIWEZI KUWEPO". Mwisho ni kweli sifai na siyo Mzalendo kwa Taifa lilowasaliti raia wake hasa maskini kwa kulea UFISADI, RUSHWA, MAUAJI YA RAIA YANAYORATIBIWA NA POLISI, WATU KUBAMBIKIWA KESI NA VYOMBO VYA DOLA NA SERIKALI KUSHIRIKI KUTENGENEZA USHAHIDI WA UONGO, RASILIMALI ZA NCHI KUNUFAISHA WACHACHE NA ZINGINE KUPELEKWA UGENINI KWA MASLAHI YA WACHACHE, HAKI KUDHULUMIWA, WANAODAI HAKI KUTEKWA NA KUTESWA NA WATU AMBAO IGP ALIWAHI KUSEMA SUALA LA MMOJA WA WALIOWAHI KUKUTWA NA KADHIA HIYO NI SIRI YA TAIFA, PIA KUNA MAOVU MENGINE MENGI YANAYOTENDEKA NDANI YA TAIFA HILI. Ikiwa huu ndio uzalendo unaousema sipo.
 
Cheo chake ni: MKALIMANI:
Kazi yake: KUTAFSIRI MANENO YA DR. SLAA KIVITENDO
Hadidu za rejea: TUTAPAMBANA NA YEYOTE BILA KUJALI KAZI YAKE, CHEO CHAKE, NAFASI YAKE SERIKALINI...........
 
Ludovick Ni mwanachama wa chadema kama wengine tu
Huyu ni kamanda mtiifu tena alie karibu sana na uongozi wa juu
Tatizo ni kwamba wakati wowote kikinuka Chadema huwa inawasahau na kuwakana makamanda wao. Na ili wasije husishwa na matatizo yako watakuita masalia.
Huu uwe mfano mzuri sana kwa makamanda wengine wa chadema kuacha tabia za kufuata upepo kwani siku kikinuka wajue imekula kwao. Watakaoumia ni ndugu na familia yako

...Hata Mwigulu aliyemtuma na kuwasiliana naye kabla ya kutengeneza ile video ni uongozi wa juu wa CCM. Inaonekana huyu jamaa ni mtiifu kwa kila mtu.
 
Kama zigo la mtandao la Kagoda walimwachia Rostam
kama Richmond kafa nayo Lowasa
Mwigulu ataanzia wapi na Ludovick?ccm hawajawahi kumtetea mwanachama wao
serikali ya ccm haijawahi kuwa upande wa wananchi
 
Hakuna atakayekuamini tangu uanzishe mradi wa kukwapua simu.Kama umefikia hatua ya kuiba kwa kutumia nguvu,kama huaminiki mbele ya simu au kifaa chochote cha kielekroniki ni dhahiri hautaaminika katika hoja yoyote ile.Ni ngumu kukuamini maana wizi na uongo ni tabia zinazoendana[/QUOT

Ni vizuri ukajibu hoja badala ya kumshambulia mtoa hoja.
 
...Hata Mwigulu aliyemtuma na kuwasiliana naye kabla ya kutengeneza ile video ni uongozi wa juu wa CCM. Inaonekana huyu jamaa ni mtiifu kwa kila mtu.

Pia ni Mtiifu wa maggid kiasi cha kuaminiwa kupewa Password zote za MjengwaBlog na akapost as Maggid.
Very interesting aisee!!
 
Last edited by a moderator:
Hii kesi itaisha bila kutajana mahakamani.ila baada ya hii kesi, kuna watu watafukuzwa chadema kutokana na hujuma hii.na usishangae kuwaona wanapokelewa na Vasco Da Gama kwenye CCM kama mashujaa, na kuzunguka nchi nzima wakitumiwa kama mipira ya kiume.
Hujuma gani unayoisema?.

Kama kufichua maovu ya aina ya KIJASUSI yanayofanyika ndani ya CDM na CDM wanasema hii ni hujuma, kwa hilo sina la kuongeza.

Vasco Da Gama ndiyo nani huyo kwenye CCM?.
 
LUDOVICK na Ben saanane wanajuana sana.Ndio waliokuwa wakifanyakazi hapa Jf ya kukitetea chama na Dr.slaa.
Dr.slaa ndani ya chama ndiye aliyemuajili Ludovick kutokana na namna alivyoanzisha harakati vyuoni hasa Udsm za chadema.
Pia ludovick alikisaidia chama kwenye chaguzi za marais wa vyuo cumpus za udsm mwaka 2011 wenye mlengo wa chadema.
Ludovick ni mtu wa ndani wa CHADEMA.NAHOFIA IPO SIKU CHADEMA WATAKUJA KUMKANA BEN SAANANE KWAMBA HAWAMFAHAMU WAKATI NAYE YUPO KITENGO MAALUMU~USALAMA

Duuu! Kama ni kweli, inatisha, nimeamin siasa ni mchezo hatari! Ngoja niendelee na taaluma yangu, siasa tuwaachie wenyewe si wengine tuwe watazamaji tu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sasa nani anafichua maovu ya kijasusi?au ni wewe ndiyo unafichua? Fuatilia hii kesi itakavyoenda halafu urudi tena kusoma ujumbe huu ndiyo utaelewa nina maana gani.
Hujuma gani unayoisema?.

Kama kufichua maovu ya aina ya KIJASUSI yanayofanyika ndani ya CDM na CDM wanasema hii ni hujuma, kwa hilo sina la kuongeza.

Vasco Da Gama ndiyo nani huyo kwenye CCM?.
 
Sasa nani anafichua maovu ya kijasusi?au ni wewe ndiyo unafichua? Fuatilia hii kesi itakavyoenda halafu urudi tena kusoma ujumbe huu ndiyo utaelewa nina maana gani.
Video imeonyesha kiongozi mwandamizi wa CDM anapanga mipango ya KIJASUSI. Kama huyo kiongozi alikuwa anafanya hujuma kwa CDM kusingekuwa na jopo la wanasheria wa CDM wanaomtetea, wangemtelekeza kama walivyofanya kwa Ludovick pamoja na kuwa alikuwa yuko CDM makao makuu kama mfanyakazi WITHOUT PORTFOLIO
 
Bado ni mapema sana kutoa hukumu kupitia kwenye hii video.Hili halihitaji ushabiki hata kidogo, kwa kuwa ukweli utajulikana as time goes.Je, umeshawahi kujiuliza ni kwanini wamemtelekeza Ludovick na kumkumbatia Lwakatare?Kama kweli wote wameshiriki, mmoja kafanya kazi ya kurekodi, mwingine kakubali kurekodiwa, ili hii video waipeleke wapi? Ukubali kurekodiwa kwa kazi ya ugaidi, na pia uandike kwenye karatasi ili iweje? Yote haya ukweli anaujua ludovick na lwakatare.na Je, kwanini DPP aliondoa hati ya mashitaka, halafu watuhumiwa wakakamatwa tena kwa makosa hayo hayo?Hawa watuhumiwa watapata nafasi ya kujitetea mahakamani na tutasikia.Hamna sababu ya kuumiza kichwa.Au kesi imeshaanza kwa kupitia jf?

Suala hapa ludovick ni mwanachadema na mwajiriwa ktk kitengo cha usalama.suala la kutumiwa kumrekod lwakatare ni zuri kwa maana ya kwamba viongozi wenu wa kitaifa wako tayari kufanya lolote wanaposhauriwa au kutiwa ndimu na wasaidizi wao.mejiaibisha sana chadema...
 
Bado ni mapema sana kutoa hukumu kupitia kwenye hii video.Hili halihitaji ushabiki hata kidogo, kwa kuwa ukweli utajulikana as time goes.Je, umeshawahi kujiuliza ni kwanini wamemtelekeza Ludovick na kumkumbatia Lwakatare?Kama kweli wote wameshiriki, mmoja kafanya kazi ya kurekodi, mwingine kakubali kurekodiwa, ili hii video waipeleke wapi? Ukubali kurekodiwa kwa kazi ya ugaidi, na pia uandike kwenye karatasi ili iweje? Yote haya ukweli anaujua ludovick na lwakatare.na Je, kwanini DPP aliondoa hati ya mashitaka, halafu watuhumiwa wakakamatwa tena kwa makosa hayo hayo?Hawa watuhumiwa watapata nafasi ya kujitetea mahakamani na tutasikia.Hamna sababu ya kuumiza kichwa.Au kesi imeshaanza kwa kupitia jf?
Mkuu, unachokisema ni kweli.

Ni mapema mno kupiga mstari kisheria pamoja na kwamba common sense zinatupa picha fulani. Kesi ikianza tutafahamu mengi.

Vile vile usisahau, Charles Dickens alituletea msemo unaosema, THE LAW IS AN ASS. Kwa maana kuwa maneno ya sheria kwenye macho ya common sense yanaweza kupingana na application kisheria.
 
LUDOVICK na Ben saanane wanajuana sana.Ndio waliokuwa wakifanyakazi hapa Jf ya kukitetea chama na Dr.slaa.
Dr.slaa ndani ya chama ndiye aliyemuajili Ludovick kutokana na namna alivyoanzisha harakati vyuoni hasa Udsm za chadema.
Pia ludovick alikisaidia chama kwenye chaguzi za marais wa vyuo cumpus za udsm mwaka 2011 wenye mlengo wa chadema.
Ludovick ni mtu wa ndani wa CHADEMA.NAHOFIA IPO SIKU CHADEMA WATAKUJA KUMKANA BEN SAANANE KWAMBA HAWAMFAHAMU WAKATI NAYE YUPO KITENGO MAALUMU~USALAMA
Oooh, Hoja yako Taswira inaunga DOTs.

Ndiyo maana akiguswa tu BOSS yake, Ben Saanane huja JF kwa mbio za mita 100 kujibu hoja hata kama hoja zake ni pumba ili mradi tu ionekane kwa BOSS wake amejibu.

Haihitaji utafiti kujua zaidi. Tafuta THREAD yoyote inayomuhusu BOSS wake, utakuta kijana Ben ametumia nguvu zake zote kujibu mashambulizi kwa mtaji wa kutaka kuaminiwa zaidi na BOSS wake.
 
Back
Top Bottom