Bahati ya mwenzako usiilalile mlango wazi,waacheni na bahati yao ya kuepushwa wasifie jela mambo mengine yanakuwa ni mipango ya Mungu ambaye ni baba wa msamaha,unayetaka wasingesamehewa wewe hujawahi samehewa.
Ila ukiwaza kwa kina ni kweli,kwa nafasi zao,hata kama ni upande wa upinzani lakini muhimu,kuonekana wakiwa na wake zao,lisiwe jambo la nadra na je wakipata huo ukuu wa nchi mfano si tabia hii inaweza kuendelea ya kuwa wao ni ngenda yeka?hahahaha
Nimesoma Gazeti la leo la Tanzania Daima, ISSN 08569762 Toleo namba 4709 la Januari 24,2018. Kichwa cha Habari ''Magufuli apata mtihani mzito''
Nimeisoma habari yote nikitafuta uthibitisho wa hojaji za kiuandishi kuonyesha kwamba hawa wana muziki wanalelewa na serikali. Lakini majibu ya Mzee...
Umesema vyema lakini mie naona kwa sasa kinachotakiwa kutiliwa mkazo ni kufanya kazi zitakazo leta tija kwa wananchi,siasa na malumbano ya kisiasa hayatabadili maisha ya wananchi.Pia hata vyama vya upinzani navyo sema vipo tu nje ya mfumo lakini huko nako ubabe na madudu kibao,sasa hilo ni eneo...
Pia kumekuwa na tabia ya kurukia hoja, na kuondoka kabisa kwenye msingi wa hoja, na kuanza kuchomekea madudu yalipo akilini kwako, hili ni kukosa kuelewa msingi wa hoja, siyo kila jambo unalivutia upande uonao wewe not fair jamani tusitaramike katika ujenzi hoja, kuliko kuwasilisha vilanga vyetu
TAKRIBAN wanakijiji 2,000 nchini Zambia wameshinda kesi ya kudai HAKI ya kuishitaki kampuni ya kimataifa ya Vedanta Resources inayoendesha shughuli za uchimbaji madini ya kopa kiasi cha kuwachafulia mazingira kijijini kwao.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa na Mahakama ya London...
Hii nzuri inaitwa kufukuza mwizi kimya kimya Ooooh Tanzania wawekezaji hawatakiwi wala hawapendi kuja,sababu...blablaaa Jaman tutulie tujenge nchi siasa za maji taka si zama hizi.
Sioni tija sana katika, hilo, kwa sababu lipo kiutaratibu wali walikuwa wakipita hatua hizo, na ukiwapima wengine wapo viwango vya juu, hakuna haja ya kukiriri mambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.