Nyalandu aelezea afya ya Tundu Lissu

Nyalandu aelezea afya ya Tundu Lissu

Lazaro Nyalandu naye mchango wake hautasahaulika. Katika hiki kapiga kikumbo chama, katanguliza utu mbele. Nafkiri anayo maono kuhusu Jemedari Lissu
 
Wapo wanasiasa wachache ndani ccm ambao wamekua neutral kwenye mambo yanayogusa maisha ya watz na taifa kwa ujumla na kwa uchache nawatambua Nyalandu, Bashe, na Nape
Hapo namuona Bashe tu.
 
Anaongea vizuri sana, natamani ccm wote wangekuwa na mawazo kama ya nyarandu
Huyu Nyalandu mbona yuko front sana! Enzi zile maliasili angekuwa na moyo huu, ndo angeliuza vitalu vya wanyama pori bure kwa mmarekani? Kuna watu sitawakubali mpaka mwisho! Mfano, masha, lowassa, sumaye! Mi nipo sawa na chadema original.
 
Kutoa taarifa haikatazwi basi uwepo utaratibu wa kuzotoa.....taarifa hiyo inatolewa na zaidi ya wabunge zaidi ya wa tano. Hapo bado lema na mchugaji.....!!!!
ahsante kwa taarifa....!!!
 
Mwenyekiti Mbowe si alisema Taarifa za Lissu atazitoa yeye Nyingine zitakazotolewa na mtu mwingine tuzipuuze? Naomba tuzipuuze hizi za Nyalandu. CCM siku hizi wanachama hawana platform ya kuongea naona wanatumia platform ya CDM. Kule mwenyekiti na Haraka Haraka pekee yao ndi wanaplatform wengine ongeeni kwenye mitandao ya kijamii tu huko.
Jamaa ana kiherehere unaanzia wapi kutoa taarifa na huku ulishaambiwa anayetakiwa kutoa ni flan.
 
Hivi
Mwenyekiti Mbowe si alisema Taarifa za Lissu atazitoa yeye Nyingine zitakazotolewa na mtu mwingine tuzipuuze? Naomba tuzipuuze hizi za Nyalandu. CCM siku hizi wanachama hawana platform ya kuongea naona wanatumia platform ya CDM. Kule mwenyekiti na Haraka Haraka pekee yao ndi wanaplatform wengine ongeeni kwenye mitandao ya kijamii tu huko.
Ugonjwa ni platform? Hebu tuache siasa katika kila jambo.
 
What a coward? Nyalandu haoni aibu kutumia hali ya Lissu kujijenga kisiasa?
Kichefuchefu kabisa, ina maana Jimboni kwake hakuna dili, kwanza wale watoto Arusha, sasa Lissu, kesho..?!
Kesha kosa mvuto huyu, labda arudi tu Marekani sasa...
 
Kuna hilo dhalimu lenye chuki za kutisha na roho mbaya kuliko shetani ambalo sasa linaivuruga nchi kwa kuteka, kutesa na hata kuua. Ni janga kubwa sana nchini mwetu.

Anaongea vizuri sana, natamani ccm wote wangekuwa na mawazo kama ya nyarandu
 
Alau Nyalandu ameongea neno gumu sana kwa WATANZANIA wa sasa, Watanzania ambao hawajali tena suala la udugu bali kujaza matumbo yao...
Anaweza Nyalandu akasemwa kwa mabaya yake lakini katika hili napenda kumpongeza kwa kuusema ukweli na kutoa nasaha njema ambazo "wenzake" wasingelipenda kusikia maneno hayo.
Watanzania upendo umepoa sana!!
 
Wadau wacheni kutoka mapovu kwani nyalandu amenena na kutupa taarifa za mdogo wake Mhe. Lissu, therefore chief we are glad to have this outstanding news over Lissu progress.
 
Back
Top Bottom