The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,401
- 3,641
Ni wakulima wa mikoa inayozalisha mahindi kwa wingi wamedai kuvunjwa moyo na vitendo vya serikali kupiga marufuku kuuza mahindi nje ya nchi, jambo lililopelekea bei za mahindi kuanguka. Wakati huohuo bei za mbolea ziko juu, na ile ya ruzuku imewafikia msimu ukiwa umeishapita.