kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,353
- 13,456
Huoni aibu kuongea ujinga? Tanzania sio kama banda lako unaloishi,hii ni nchi masharti kawawekee kuku wako unaoishi nao kwenye banda lakoAkaae huko huko mile mile, hatumhitaji hapa Tz
Huoni aibu kuongea ujinga? Tanzania sio kama banda lako unaloishi,hii ni nchi masharti kawawekee kuku wako unaoishi nao kwenye banda lakoAkaae huko huko mile mile, hatumhitaji hapa Tz
Hata mateja Dar wanaweza kufika muhimbili.....CCM imepunguza vijana uwezo wakufikiliaMbona wachache sana?.......Kingunge alitembelewa na vigogo 15,308 alivyolazwa muhimbili!
Kama anampunga wakutosha na haupewe buku7 anakugee yeye basi juwa huyo bibi yako ni kigogoThere must be a consensus on who is a kigogo as far as I know my 95yrs old grandmother is a kigogo
Ufupi wa fikra unakusumbua,hivi kweli mtu mwenye akili sawasawa anatumia viungo vyake kuandika ujinga wa kitoto namna hii???Hii nayo propaganda?Are you really paid by slowly for these ridiculous arguments?Taifa na watu wake wanaangamia kwa kuongozwa na chatolised brains.Have you ever gone to school?Dear woman,what you have written is absolute non sense.Sijui unafikir Nairobi ni sawa na kwenda lumumba kumuona Slowly akupe malipo ya kuandika ujinga humuView attachment 692899
Kwa Mujibu wa tovuti ya Mwanahalisionline,
Jumla ya watu mbalimbali wakiwemo mashuhuti na wa kawaida zaidi ya 500 walimtembelea Lissu Hospitalini Nairobi baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7, 2017 mjini Dodoma. Kama ilivyoada kwa Mwanahalisi, wameandika kinafiki nafiki tu wa sababu zao wenyewe wanazozijua ikiwa ni pamoja na kutaka kuonesha kuna watanzania wengine hawakumjali Lissu.
Kwa mijibu wa imani ya dini, Mke na Mime ni mwili mmoja.Edward Lowassa na Mke wake walionekana Hospitalini Nairobi, Naomba nioneshwe picha hata kama hawako pamoja na Wenzi wao wake za hawa viongozi wa Chadema wakiwa Dodoma, Nairobi au hata Sweden wakimjulia hali Tundu Lissu ili kumfariji mwanamke mwenzao(mke wa Tundu Lissu)
1. Mke wa Freeman Mbowe
2.Mke wa Vincent Mashinji
3. Mke wa Benson Kigaiya
4. Mke wa John. Mrema
5. Mke Tumaini Makene
6.Mke wa Godbless Lema
7. Mke wa Peter Msigwa
Vigogo 600 wamtembelea Lissu hospitali
Mmeguswa lazima mtapetape, haiingii akilini Mke wa Mwenyekiti au Katibu Mkuu wa chama asiende kumfariji mke wa kiongozi wa Chama pale mmoja wa familia yake anapopatwa na mkasa. Ni aibuUfupi wa fikra unakusumbua,hivi kweli mtu mwenye akili sawasawa anatumia viungo vyake kuandika ujinga wa kitoto namna hii???Hii nayo propaganda?Are you really paid by slowly for these ridiculous arguments?Taifa na watu wake wanaangamia kwa kuongozwa na chatolised brains.Have you ever gone to school?Dear woman,what you have written is absolute non sense.Sijui unafikir Nairobi ni sawa na kwenda lumumba kumuona Slowly akupe malipo ya kuandika ujinga humu
Mbowe na Mke wake ni kama Paka na Panya, labda wafungwe kwa Kamba
labda wa slaa peke yake, na ndio ndio kipenzi chako unaonekana!Viongizi wengi WA Chama CHETU Hawako vizuri na familia zao
Wewe mbona hauko vizuri na mama yako sababu ya mkeo na watu wamekuachia mambo yako maana ni ujinga wako mwenyewe kumchukia mama yako sababu ya mwanamke?Viongizi wengi WA Chama CHETU Hawako vizuri na familia zao
Ila ukiwaza kwa kina ni kweli,kwa nafasi zao,hata kama ni upande wa upinzani lakini muhimu,kuonekana wakiwa na wake zao,lisiwe jambo la nadra na je wakipata huo ukuu wa nchi mfano si tabia hii inaweza kuendelea ya kuwa wao ni ngenda yeka?hahahahaView attachment 692899
Kwa Mujibu wa tovuti ya Mwanahalisionline,
Jumla ya watu mbalimbali wakiwemo mashuhuti na wa kawaida zaidi ya 500 walimtembelea Lissu Hospitalini Nairobi baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7, 2017 mjini Dodoma. Kama ilivyoada kwa Mwanahalisi, wameandika kinafiki nafiki tu wa sababu zao wenyewe wanazozijua ikiwa ni pamoja na kutaka kuonesha kuna watanzania wengine hawakumjali Lissu.
Kwa mijibu wa imani ya dini, Mke na Mime ni mwili mmoja.Edward Lowassa na Mke wake walionekana Hospitalini Nairobi, Naomba nioneshwe picha hata kama hawako pamoja na Wenzi wao wake za hawa viongozi wa Chadema wakiwa Dodoma, Nairobi au hata Sweden wakimjulia hali Tundu Lissu ili kumfariji mwanamke mwenzao(mke wa Tundu Lissu)
1. Mke wa Freeman Mbowe
2.Mke wa Vincent Mashinji
3. Mke wa Benson Kigaiya
4. Mke wa John. Mrema
5. Mke Tumaini Makene
6.Mke wa Godbless Lema
7. Mke wa Peter Msigwa
Vigogo 600 wamtembelea Lissu hospitali
unaota ndoto ya mchana au umerithi mikoba ya Shekhe Yahaya ?Wewe mbona hauko vizuri na mama yako sababu ya mkeo na watu wamekuachia mambo yako maana ni ujinga wako mwenyewe kumchukia mama yako sababu ya mwanamke?
Mkuu, tukubali hapo kuna kosa limefanyika au familia hizi hazielewani. Kuna wanawake wa kawaida kabisa wametoka mikoa ya kusini huko kwenda Nairobi, Mbowe, Msigwa, na Lema wanakula tu bata na vi-mamsapu huko. Tusitetee ujinga. Mke wa Lissu amekosa faraja ya wanawake wenzakeWaume zao wakiishaenda unataka na wake zao waende wewe jinsia ipi wewe?