Ahadi ilikuwa Mahakama ya mafisadi au Mahakama ya kushughulikia wapinzani?

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Wakati huu ndio tunashuhudia dola ikiwa Na double standard ya hali ya juu! Jambo moja likifanywa na mpinzani hasa wa Chadema, basi utaona vyombo vya dola vilivyo active, lakini jambo hilo hilo likifanywa na mwanaccm basi ni suna na kuona ni jambo la kawaida tu!

Mpaka siasa,kuanzia Lema, Msigwa na Sugu, sijaona kati yao aliyezungumza maneno mabaya zaidi ya aliyosema mwenyekiti wa UVCCM kule Zanzibar! Nawaza tu kama angekuwa mpinzani anawatisha Mahakama na Polisi tena kwa maneno "Ole wao na niwaone Polisi na Mahakama watakaowachukulia hatua vijana wa CCM"

Sijui angekuwa ndio Lema kasema hivyo angekula mvua ngapi! Eti kijana aliyepiga picha "expansion joint" anaitwa kuhojiwa na kutiwa misukosuko ila wanaochochea uhalifu kama Kheri James wanapeta tu!

Kwa siasa naona kushughulika Na wapinzani ni kipaumbele kuliko hata vita vinavyoitwa vya ufisadi!Hiyo mahakama ya mafisadi kuko kimya huku kila uchao tunasikia madudu mapya na wahusika wapo!

Ni ajabu awamu hii, Mtoa rushwa kununua madiwani Na mlitia taifa hasara ili tu kuonesha mkulu anakubalika,anapandishwa cheo huku kukiwa Na ushahidi wa video akitumia vibaya nafasi yake ya ukuu wa wilaya!

Its a shame!
Bilioni moja kurudia uchaguzi wa mbunge????
 
Hivi kwa mf yule dc aliempandisha mgombea huko siha, ni nani anatakiwa kumwajibisha? ni wapinzani? nec? au mamlaka iliomteua!!?
 
Umeongea vyema, walikuwa wamelenga kiwapeleka wapinzani kwenye mahakama hizo

Baada ya kuona hamna kesi za wapinzani, mahakama sasa zinakaliwa na popo!
 
Wakati huu ndio tunashuhudia dola ikiwa Na double standard ya hali ya juu!Jambo moja likifanywa na mpinzani hasa wa CDM,basi utaona vyombo vya dola vilivyo active,lakini jambo hilo hilo likifanywa na mwanaccm basi ni suna na kuona ni jambo la kawaida tu!
Mpaka siasa,kuanzia Lema,Msigwa Na Sugu,sijaona kati yao aliyezungumza maneno mabaya zaidi ya aliyosema mwenyekiti wa UVCCM kule Zanzibar!Nawaza tu kama angekuwa mpinzani anawatisha mahakama Na polisi tena kwa maneno "Ole wao na niwaone polisi na mahakama watakaowachukulia hatua vijana wa ccm"
Sijui angekuwa ndio Lema kasema hivyo angekula mvua ngapi!Eti kijana aliyepiga picha "expansion joint" anaitwa kuhojiwa Na kutiwa misukosuko,ila wanaochochea uhalifu kama Kheri James wanapeta tu!
Kwa siasa naona kushughulika Na wapinzani ni kipaumbele kuliko hata vita vinavyoitwa vya ufisadi!Hiyo mahakama ya mafisadi kuko kimya huku kila uchao tunasikia madudu mapya na wahusika wapo!
Ni ajabu awamu hii,Mtoa rushwa kununua madiwani Na mlitia taifa hasara ili tu kuonesha mkulu anakubalika,anapandishwa cheo huku kukiwa Na ushahidi wa video akitumia vibaya nafasi yake ya ukuu wa wilaya!
Its a shame!
Bilioni moja kurudia uchaguzi wa mbunge????
Ccm mbele kwa mbele
 
Kwani Masha na Bashe wameishakamatwa na Polisi baada ya kuwaelekeza UVCCM wawapige wapinzani kwa sababu Serikali ni yao,Dola ni yao,Mahakama ni yao,Polisi,Magereza na Bunge na watawawekea dhamana wasiwe na wasiwasi.Unafikiria angekuwa Lema au Sugu kaongea hayo angeambiwaje??

Double standard kwenye Polisi na Mahakama ni kubwa mno.Kwa sasa hatuna Mahakama huru bali tuna baadhi (10%)ya Mahakimu wanaojiheshimu na kutenda haki.
 
Umesema vyema lakini mie naona kwa sasa kinachotakiwa kutiliwa mkazo ni kufanya kazi zitakazo leta tija kwa wananchi,siasa na malumbano ya kisiasa hayatabadili maisha ya wananchi.Pia hata vyama vya upinzani navyo sema vipo tu nje ya mfumo lakini huko nako ubabe na madudu kibao,sasa hilo ni eneo dogo tu wamepewa la kutawala chama je wakitawala nchi,mie naona watanzania kwa sasa tujikite kuhamasisha utendaji kwa yale ambayo si ya kisiasa.
 
Wakati huu ndio tunashuhudia dola ikiwa Na double standard ya hali ya juu!Jambo moja likifanywa na mpinzani hasa wa CDM,basi utaona vyombo vya dola vilivyo active,lakini jambo hilo hilo likifanywa na mwanaccm basi ni suna na kuona ni jambo la kawaida tu!
Mpaka siasa,kuanzia Lema,Msigwa Na Sugu,sijaona kati yao aliyezungumza maneno mabaya zaidi ya aliyosema mwenyekiti wa UVCCM kule Zanzibar!Nawaza tu kama angekuwa mpinzani anawatisha mahakama Na polisi tena kwa maneno "Ole wao na niwaone polisi na mahakama watakaowachukulia hatua vijana wa ccm"
Sijui angekuwa ndio Lema kasema hivyo angekula mvua ngapi!Eti kijana aliyepiga picha "expansion joint" anaitwa kuhojiwa Na kutiwa misukosuko,ila wanaochochea uhalifu kama Kheri James wanapeta tu!
Kwa siasa naona kushughulika Na wapinzani ni kipaumbele kuliko hata vita vinavyoitwa vya ufisadi!Hiyo mahakama ya mafisadi kuko kimya huku kila uchao tunasikia madudu mapya na wahusika wapo!
Ni ajabu awamu hii,Mtoa rushwa kununua madiwani Na mlitia taifa hasara ili tu kuonesha mkulu anakubalika,anapandishwa cheo huku kukiwa Na ushahidi wa video akitumia vibaya nafasi yake ya ukuu wa wilaya!
Its a shame!
Bilioni moja kurudia uchaguzi wa mbunge????
sasa siasa za CCM ni zaidi ya ukabila
 
Kwani Masha na Bashe wameishakamatwa na Polisi baada ya kuwaelekeza UVCCM wawapige wapinzani kwa sababu Serikali ni yao,Dola ni yao,Mahakama ni yao,Polisi,Magereza na Bunge na watawawekea dhamana wasiwe na wasiwasi.Unafikiria angekuwa Lema au Sugu kaongea hayo angeambiwaje??

Double standard kwenye Polisi na Mahakama ni kubwa mno.Kwa sasa hatuna Mahakama huru bali tuna baadhi (10%)ya Mahakimu wanaojiheshimu na kutenda haki.
kwa uongozi WA upinzani ulipaswa kufanya siasa za jino kwa jino..ukinya tunaarisha ukijamba tunakunya wakija na mapanga tuna mashoka.mpinzani kwa sasa usitembew kifala..maana wakuja uvccm ndo polisi waje baadae..nenda na kichwa cha mtu mgawane majengo ya serikali maana yote Ni yetu.akiwa hoi bin taaban hospital na wewe unafikiria namna ya kujitetea..pumbavu zao?.kwa sababu mahakama Ni zao sisi tuwaelekeze hospital ikiwezekana poteza ushaidi..ua kabisa muhusika shaidi namba 1asiwepo
 
Tatizo siasa imeingiliwa na washamba...... Ogopa Sana mtu aliyekulia maisha ya shida udogoni..... Akija kupata anakuwa na kiburi na kujiona yy ndo mungu.... Kumbe hata uhai wake hajui kama hauna guarantee
 
Back
Top Bottom