Recent content by mwako

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya mahakama ya Afrika Mashariki ni pigo kwa wanahabari Tanzania

    Kama ww ni mwanahabari kwa nn hukutoa maoni yako wakati wa kufile kesi,umengoja hukumu ndiyo unaleta malalamiko,yatasaidia nn? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu zinazoongoza kwa ushirikina Tanzania

    Waoo,have a nice day... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu zinazoongoza kwa ushirikina Tanzania

    Utafiti hupingwa kwa utafiti,pls do ur research... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ana miruzi mingi atakupoteza….

    Ulikua na tumbo kuliko John Komba?Tafuta pesa mzee baba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lijue lango kuu la kuzimu lililopo Pangani mkoani Tanga

    Lengo ni kuonesha kuwa Pangani haina maendeleo kwa ajili ya waarabu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

    Si ajabu hata kigari kibovu hana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuchamba kwa maji ni uchafu uliopitiliza na hatari kwa afya

    Umesema panapotoka kinyesi tufute kwa karatasi,ila mkono ulioshika karatasi iliyogusa kinyesi tuoshe kwa dawa,dawa tupu bila maji?Ikiwa mkono ulioshika karatasi unaoshwa kwa sabuni na maji je pale palipotoka kinyesi penyewe?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Hatununui watu Kama Mbuzi

    U mean blank cheque ?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya matajiri Tanzania kulingana na utajiri wao,Bakhresa ashuka nafasi moja, wajua nani kamshusha?

    Khoja Shia Ithnaasheri Jamat,si kampuni,ni jumuiya ya kidini ya waislamu wa shia Ithnaasheri,ni vizuri kama kitu hukijui ujisumbue kuuliza laa sivyo utaonekana kituko. ..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chadema kuna wanasheria wabobezi hivyo ni " chimbo" salama kwa watuhumiwa wa ufisadi!

    Inahitajia miaka mingapi hadi majizi na mafisadi yaliyoko CCM kufikishwa kortini,maana mtu hawi fisadi na mwizi hadi ahame CCM
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini siku hizi Zitto Kabwe ameaamua kujachia midevu kibao

    Hakuna uhusiano kati ya ndevu na ndoa kwenye uislamu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

    Ushahidi wa nani Lulu,au upande wa mashtaka ?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Nimeshangaa sana,by the way hivi FEZA ni shule kongwe pia,ukongwe una maana gani ?
Back
Top Bottom